Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Goba Centre

Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Goba Centre

Dalali Alpha

Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
89
Reaction score
60
Kiwanja kizuri sana, Kipo karibu na barabara Kubwa ya lami.

Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking)

Bei - Tshs Milioni 15 [ Maongezi yapo]

Uhalali wa Umiliki wa kiwanja; Leseni ya maudhiano ya serikali ya mtaa.

Tupigie: 0686648630

IMG_20210420_154943.jpg


IMG_20210420_154919.jpg
 
Back
Top Bottom