Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Kimbiji ,Kigamboni ,bei mil5.5,maongezi yapo.

Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Kimbiji ,Kigamboni ,bei mil5.5,maongezi yapo.

ntakisigae

Senior Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
186
Reaction score
66
Kiwanja kipo km40 kutoka kigamboni.
Kina ukumbwa wa mita20 kwa mita20.Kiko jirani na barabara kuu na njia panda kwenda Ufukweni (beach).
Panafaa sana kibiashara kama maduka,mgahawa nk.Umeme upo jirani.
Eneo liko jirani na kiwanda cha Lake Cement.
Bei ni mil5.5.Maongezi yapo!Dalali hatakiwi!
Kwa maelezo zaidi,tuwasiliane kwa namba:0657011122
KARIBUNI!
 
Write your reply... Barabara kubwa ipo umbali gani kwa makadirio ya mita?
 
Back
Top Bottom