Kiwanja kizuri kwa ajili ya kituo cha mafuta kinauzwa

Achukibesi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
234
Reaction score
78
Ndugu wanaJF, kuna kiwanja kizuri sana kwa aajili ujenzi wa Kituo cha Mafuta, kinapatikana katika Manispaa ya DODOMA. Kina ukubwa wa Ekari Tatu kipo barabarani kwenye barabara mpya ya DODOMA-ARUSHA. Only serious buyers are invited. Please Pm me for more details.
 
Kiwanja hiki pia kina nyumba iliyokamilika ambayo inaweza kufaa kwa matumizi yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…