Plot4Sale Kiwanja Kizuri kwa biashara kinauzwa Kigamboni, Dar kwa mil4.5

Plot4Sale Kiwanja Kizuri kwa biashara kinauzwa Kigamboni, Dar kwa mil4.5

ntakisigae

Senior Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
186
Reaction score
66
Kiwanja kipo Kimbiji kwa Moriss,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa ni mita20 kwa 20. Kipo jirani na barabara kuu lakini nje ya mawe ya hifadhi ya barabara.Kipo jirani na ufukwe(beach).

Panafaa kwa minara ya simu,fremu za maduka, mashine za kusaga,duka la hardware,hoteli ,baa,kufyatulia na kuuzia matofali,kuuzia miti na maua nk.Umeme upo jirani, mani baridi yanapatikana ukichimba kisima.

Eneo linajengeka kwa kasi.Si mbali na Kiwanda cha saruji(sementi), JKT na Magereza Kimbiji.

Bei ni mil4.5.Karibuni, sihitaji Dalali.

Mawasiliano: 0657011122

FD85C8D8-C826-4941-B4F0-C5D570B53A2E.jpeg
 
Back
Top Bottom