Kiwanja kizuri na chenye ubora kinauzwa kigamboni ( sihitaji dalali tafadhali)

Kiwanja kizuri na chenye ubora kinauzwa kigamboni ( sihitaji dalali tafadhali)

pide89

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
41
Reaction score
3
Ni kiwanja kilicho sehemu nzuri na hakina mgogoro wa mradi wowote, kina square 1047, kina fence nzuri ya ukuta,kuna kisima pia. Kipo maeneo ya kigamboni kibanda plot 344 block 19 karibu kabisa na kibanda secondary school

kwa mawasiliano zaidi na picha whatsapp 0764014285
 
Kwani kutaja bei yako ya kuanzia ni dhambi? Au hiyo bei ni siri mkuu?
 
Jiuzie mwenyewe na bei yako ya kuficha ficha!!
 
Kweli naamini, wabongo biashara kwao Ni kazi ngumu sana, hata kutangaza tu HAWAJUI, nn waweke au vp vitu muhimu ktk biashara husika, kama tangazo tu huwezi, na wengine hata evaluations za average costs za ardhi husika au gari ni shida tu...je BIASHARA YOTE HAWEZI
 
Ukiona hivyo ujue bei yake ni kulopoka kama ya yule mwenzake anayeuza sqmt 700 kwa 27M,kwahiyo anaogopa akiweka bei watu watampa changamoto.

Yote hii inasababishwa na bei za ajabu za ardhi ambazo hazina uhalisia,Tubaijuka na mradi wake hewa wa kigamboni ndio kasababisha watu walopoke tu bei za ardhi
 
Back
Top Bottom