Kiwanja mbweni medium density size kinauzwa bei ni nzuri kabisa ya kitanzania zaidi

Ubuntuwize

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
312
Reaction score
93
Habari zenu wakuu kwa ujumla, natumai mu wazima wa afya na kwalio na matatizo ya kiafya poleni ila Mungu muweza yote natumai atawaponya ili tujumuike wote katka ujenzi wa taifa kwa ujumla..... SASA HAPA KUNA BIASHARA KWA ALIE TAYARI TUTA ZUNGUMZA.... KUNA KIWANJA MAENEO YA MBWENI NI MEDIUM DENSITY(44 X20) KINAUZWA KWA YEYOTE ALIE TAYARI BASI TUWASILIANE (ANI PM)....ahsante nawakilisha
 
Mkuu tuwekee bei, tuambie kama kina hati, tuambie kama kiko block gani mbweni, na kama ni mbweni mpiji au mbweni ya ndege beach!!!! Tujitahidi kutoa maelezao ya kutosheleza ili kuwa wazi zaidi then makubaliano ni wewe na atakayekuwa tayari kununua. Asante.
 
Hujaweka contact. PM hujibu arghaaaa. Mijitu mingine sijui mkoje.
 
nilienda kwa kijiji ndo narudi wakuu samahai sana....... nikua nmekwenda kwa shughuli za kilimo issue nihivi jamani...PLOT IKO MBWENI NEAR BAKILIMULUZI SEC SCHOOL (MBWENI) ,BLOCK 13 SURVEYED PLOT NA HAINA SHIDA ,HATI PIA IPO SO UJE UANGALIE KAMA UNANIA UCHAGUE KIWANJA BOMBA TIME HII YA MAFURIKO
 
Yani mkuu umerudi na yaleyale bila kusoma malalamiko ya wadau na kuyafanyia kazi.

Weka bei
 
Mwenye kiwanja/viwanja hajamwambia bei bado ndio kaenda kumuuliza
 
Back
Top Bottom