Plot4Sale Kiwanja mita 400 kutoka eneo la chuo kinauzwa Mwanza

Plot4Sale Kiwanja mita 400 kutoka eneo la chuo kinauzwa Mwanza

mic mabawa

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
13
Reaction score
22
Hiki ni kiwanja cha kujenga Hostel za wanafunzi kinauzwa.

UKUBWA
1. UREFU 28
2. UPANA 25

Kiwanja kipo Mwanza maeneo ya kisesa karibu sana na Chuo kikuu cha Mipango na Maendeleo vijijini-MWANZA.

NB: Mawe yapo around hautahtajika kutafuta gari kwa ajili ya kazi hiyo
BEI TSH. 3,300,000/=

wasiliana na mimi kwa 0758718220 & Au 0623279535
 
Hicho kiwanja kinamilikiwa kihalali?
Kama ndio, Je Documents za umiliki zipo? Mfano hati au ofa?
 
Hiki ni kiwanja cha kujenga Hostel za wanafunzi kinauzwa.

UKUBWA
1. UREFU 28
2. UPANA 25

Kiwanja kipo Mwanza maeneo ya kisesa karibu sana na Chuo kikuu cha Mipango na Maendeleo vijijini-MWANZA.

NB: Mawe yapo around hautahtajika kutafuta gari kwa ajili ya kazi hiyo
BEI TSH. 3,300,000/=

wasiliana na mimi kwa 0758718220 & Au 0623279535
Kitumba huko Chaka pori👇🤣
 
Kitumba ni pori sana may be price ingekuwa kwenye 2.5 M

sent from HUAWEI
Of course, maana kwa Bei hiyo na ukubwa wenyewe wa Kiwanja ulivyo, hiyo Bei Ni kubwa.

Hizo Ni Bei za Bujora, Igudija na Kanyama pande hizo.
 
Back
Top Bottom