Wasape wanaJF nina shida kuhusu Nyumba na kiwanja Dar.
1.Ni sehemu gani nzuri zenye nafasi ambazo sio uswzi sana pazuri kwa kujenga?
2.Kiwanja low density bei gani?
3.Na estimation ya kujenga nyumba yenye kufanana na hii ni kama Tsh ngapi?
Naomba msinipe link nimeshazipitia zinanipa kizungu zungu naomba mawazo yenu na uzoefu wenu wa hapa mjini.
3.Na estimation ya kujenga nyumba yenye kufanana na hii chini ni kama Tsh ngapi?
Wasape wanaJF nina shida kuhusu Nyumba na kiwanja Dar.
1.Ni sehemu gani nzuri zenye nafasi ambazo sio uswazi sana pazuri kwa kujenga?
2.Kiwanja low density au medium density bei gani?

Just be very careful.
Check the below sites. they helped me alot, when I needed something down there.
Real Estate For Sale in Tanzania - Available Properties - Viviun the Leader in International Property Listings
dream beaches for sale - real estate for Tanzanian paradise
Houses and apartments for sale in Tanzania
Hapo juu nawafahamu,wafanya biashara wa viwanja.Piga simu 0754299752 kiwanja Tegeta mid density
Just be very careful.
Check the below sites. they helped me alot, when I needed something down there.
Real Estate For Sale in Tanzania - Available Properties - Viviun the Leader in International Property Listings
dream beaches for sale - real estate for Tanzanian paradise
Houses and apartments for sale in Tanzania
Wasape wanaJF nina shida kuhusu Nyumba na kiwanja Dar.
1.Ni sehemu gani nzuri zenye nafasi ambazo sio uswazi sana pazuri kwa kujenga?
2.Kiwanja low density au medium density bei gani?
3.Na estimation ya kujenga nyumba yenye kufanana na hii chini ni kama Tsh ngapi?
Naomba msinipe link nimeshazipitia zinanipa kizungu zungu naomba mawazo yenu na uzoefu wenu wa hapa mjini.
Mhhh Sinkala...Nadhani Maxence Melo atakuwa na jibu zuri kwa swali hili
Location ni muhimu sana. Lakini currently viwanja vinapatikana maeneo ya Wazo, Kigamboni, Mji Mwema, Chanika/Pugu, Bunju, Mwanagati & Majohe. Maeneo mengine labda nimwulize jamaa wa Ardhi kwa usahihi zaidi.Ungekuwa umeonyesha maeneo unayopenda watu wangejua the right place to show you. Sasa mzee hii ya jumla ni ngumu kidogo. Wengine ukiwaambia wilaya ya Temeke wanajisikia kufakufa hivi, ilala maeneo mazuri ni machache na Kinondoni bei ndo hizo. Jaribu kuonyesha wapi unapendelea zaidi.
Location ni muhimu sana. Lakini currently viwanja vinapatikana maeneo ya Wazo, Kigamboni, Mji Mwema, Chanika/Pugu, Bunju, Mwanagati & Majohe. Maeneo mengine labda nimwulize jamaa wa Ardhi kwa usahihi zaidi.
Kama ukitaka kiwanja Kariakoo vinapatikana kwa Tshs 700,000,000/- tu. Unaweza kuchagua wapi unataka Yo Yo