Kiwanja/nyumba

Kiwanja/nyumba

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
11,308
Reaction score
21,507
Salama? Kuna nyumba ambayo haijakamilika(bangaluu)! Ina 1masterroom, 2bedrooms, sitting n dining rooms, ina kitchen, store ndogo, na choo+bafu..! Ipo kunduchi-mtongani njia panda ya kwenda wet n'world, ni nyumba ya pili kutoka barabarani..! Kwa anaehitaji bei ni 35mil, dalali haitajiki, mawasiliano 0772044611,.!
 
Plot ilipojengwa hiyo nyumba in ukubwa gani? imepimwa? ina hati?
 
Salama? Kuna nyumba ambayo haijakamilika(bangaluu)! Ina 1masterroom, 2bedrooms, sitting n dining rooms, ina kitchen, store ndogo, na choo+bafu..! Ipo kunduchi-mtongani njia panda ya kwenda wet n'world, ni nyumba ya pili kutoka barabarani..! Kwa anaehitaji bei ni 35mil, dalali haitajiki, mawasiliano 0772044611,.!

Mkuu haimo kwenye eneo la kujidai la mheshimiwa Pombe kweli hii? Usije ukawa unawauzia watu wengine matatizo.
 
Thanx wadau, biashara ishafanyika..
 
Back
Top Bottom