Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Ni hatua chache kutoka magunga hospitali

Kuna umeme na maji, kipo flat
Bei Haipungui
Tsh 2,500,000 tu
Nipigie 0746 266 267
 
Vijijini wana eka za miguu 70 kwa 70.
Kimsing vipimo sahihi ni mita 64 x 64. Hiyo 70 x 70 ni makadirio tu kujazilizia ifikie 64 kwa kuwa usually hatua ni fupi kuliko mita. Ni binadamu wachache wenye hatua za mita moja.
 
Back
Top Bottom