Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,635
Kweli kabisa,viwanja vingi vya kariakoo vina 12 kwa 12,vya mwisho kwa kariakoo vina 15 kwa 15Na hapo hapo mjini kuna vingine havijatimia iyo 20 kwa 20 na wamejenga apartment
Kweli kabisa,viwanja vingi vya kariakoo vina 12 kwa 12,vya mwisho kwa kariakoo vina 15 kwa 15Na hapo hapo mjini kuna vingine havijatimia iyo 20 kwa 20 na wamejenga apartment
Inategemea requirement zake zikoje...idadi ya vyumba,ukubwa wake,na pia facilities za ziada kama studying room and office,laundry nkLabda uende nje ya mji ndio utapata uwanja wa vipimo ivyo