Kiwanza kinauzwa-mbezi

Kiwanza kinauzwa-mbezi

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Kipo Mbezi Kunguru karibu sana na shule maalufu nchini kwa kufaulisha watototo nchini iitwayo St Joseph Millenium Secondary. Unapitia njia ya Masaah Hospital kukiendea ukitokea Samaki wabichi Mbezi Beach barabara ya Bagamoyo. Kinaukubwa wa heka moja. Hakijapimwa. Kipo salama muuzaji anajulikana na anatambulika na uongozi wa serkari ya mtaa na ya juu yake. Bei sh 12milioni. kwa maelezo zaidi piga 0717114409
 
12 million/h na hakijapimwa.!!! Ni mwendo wa masaa mangapi (gari au miguu) kutoka samaki wabichi?
 
Kipo Mbezi Kunguru karibu sana na shule maalufu nchini kwa kufaulisha watototo nchini iitwayo St Joseph Millenium Secondary. Unapitia njia ya Masaah Hospital kukiendea ukitokea Samaki wabichi Mbezi Beach barabara ya Bagamoyo. Kinaukubwa wa heka moja. Hakijapimwa. Kipo salama muuzaji anajulikana na anatambulika na uongozi wa serkari ya mtaa na ya juu yake. Bei sh 12milioni. kwa maelezo zaidi piga 0717114409

Mkuu, sahihisha kichwa cha habari. Nimekusoma kama kiwanja na si kiwanza!
 
Kiwanza. Ni kiwanja au kiwanda? Hapo kwenye Z ukiweka j au d inaleta maana tofauti. Japo kwenye maelezo yaelekea ni kiwanja, tafadhali rekebisha ili kuondoa utata.
 
Hivi we Kitomai unaona JF ni soko la kimataifa, hivyo unataka ujipatia udalali 150%?.
JF ni wazawa asilia wa Tanzania, familia zinazopigana kupata basic needs. Siyo mafisadi wa kuweza kununua hivyo viwanja kwa bei hizo..

Inategemea unatumia mwendo kasi gani. kwa gari dakika 5 kwa mguu dakika 30
 
Nimesahihisa. Asante kwa kunikosoa
 
Kipo Mbezi Kunguru karibu sana na shule maalufu nchini kwa kufaulisha watototo nchini iitwayo St Joseph Millenium Secondary. Unapitia njia ya Masaah Hospital kukiendea ukitokea Samaki wabichi Mbezi Beach barabara ya Bagamoyo. Kinaukubwa wa heka moja. Hakijapimwa. Kipo salama muuzaji anajulikana na anatambulika na uongozi wa serkari ya mtaa na ya juu yake. Bei sh 12milioni. kwa maelezo zaidi piga 0717114409

Ni eka au heka,fafanua mkuu. Hivi ni vipimo viwili tofauti mkuu. Naweza kuja na Mkinga wangu mmoja huko nimemwambia kuna heka inauzwa kumbe wewe una maana eka. Naweza kuonekana kimeo bure.

Hekta moja ni sawa na eka mbili na nusu. Naamini unamaanisha eka moja yaani mita sabini kwa sabini. Ondoa hiyo H,iwe eka na sio heka kuna siku utawachanganya wateja wako.Katika msamiati wa vipimo hakuna kipimo kinachoitwa HEKA ila kuna EKA na HEKTA.
 
Back
Top Bottom