inategemea sms hiyo kama haukutaja jina la nyumba ndogo, my wife wako atajua imemlenga yeye, nadhani hapo hupaswi kuwa na kiwewe wala hofu. Kinachohitajika kwako ni kujiamini ku explain utakapomface baadae.
Unanikumbusha kisa cha mke aliyempa zawadi ya boxers 10 mumewe kisha mume akalalamika mbona umeniletea za rangi moja?Mke akauliza kwani kuna tatizo zikiwa za rangi moja?Na mume akajibu kuwa tatizo lipo sana tu si watajua nina boxer moja tu..

Du! hii mada ungeipeleka kule jukwaa la mahusiano ingepata wachangiaji wengi sana na hivyo tungejifunza mengi mno.