Unaandika sms nzuuri ya kuisifia nyumba ndogo yako, unakosea unaituma kwa mkeo wa kweli naye baada ya kuisoma anakupigia kukushukuru kwa sms nzuri uliyomtumia, kwa kuwa hukuwa umelenga kuituma kwake unashikwa na kiwewe unajibu hivi, ' samahani mke wangu sms haikuwa yakwako - hilo zali unalipoza kivipi ?