Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Bora nilichoandika kinaeleweka kuliko wewe umeandika heufi nane tu zisizo na maana wala heshima... Onesha upo kwenye forum ya wenye akili Tatizo mnachukulia ushabiki tu maandazi... sababu hamna ujasiri unajificha nyuma ya keyboard...
Wewe umejificha mbele ya keyboard
 
..walionyima TL matibabu nao wanataabika sana ktk nafsi zao.
 

HISIA HISIA TU HAKUNA UKWELI WOWOTE WA USHIRIKI WA VYOMBO VYA DOLA NI ASSUMPTIONS ZISIZO NA CHEMBE YA USHAHIDI.
 
Kwenye tukio la uvamizi wa lisu sitaki hata kidogo kuruhusu hisia zangu za kifikra kumuhukum MTU ili hali lisu hajafa Mungu atawatoa hadharani kweupe
 
Kwenye tukio la uvamizi wa lisu sitaki hata kidogo kuruhusu hisia zangu za kifikra kumuhukum MTU ili hali lisu hajafa Mungu atawatoa hadharani kweupe
Kinachonihuzunisha zaidi ni huu unafiki ambao wengine wenu mnaouonesha katika tukio hili...kwanza huyo lisu unayemtaja unamjua wewe tu, pili unatakiwa uwe na heshima kidogo hata kama humpendi Mh. Tundu Lissu na tatu Mungu tayari anawatoa hadharani waliohusika. Mwenye macho haambiwi ona na kiwewe kizito kilichowakumba wahusika hakifichiki na kimeanza kuwaumbua moja baada ya mwingine...fuatilia wanavyopayuka hovyo kila moja akitoka na lwake.
 
Mbona na wewe unaweweseka??
 
Walipanga kwa furaha jaribio la kuangamiza maisha TL sasa wanakaa kwenye mikutano kwa kujilaumu kutofanikisha adhima yao
 
Hali hii bila shaka imesababishwa na kiwewe kizito kilichowakumba washauri, waratibu, na watekelezaji wa jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu! Tusubiri kuona mengi,
Hivi unaijua hali ya lissu au umeanza kununua mbeleko kabla hujazaa?
Lissu bado anahitaji matibabu ya hali ya juu
 
Tanzania x 2 nakupenda kwa moyo wote,nchi yangu tanzania nakupenda kwa moyo wote.nilalapo nakuwaza wewe niamkapo ni heri mama wee -----''''
 
Ukitaka ujue shame goes after you, angalia maneno hayo uliyoandika kwa mkono wako. Elimu ninayo mkubwa. Tena kubwa tuuu! Wakati naandika meseji yangu ya kwanza nilikuwa maktaba yangu nikitafuta wanachama wa opus dei hapa Tz. Wakati nikiendelea, kijana wangu akaja na ombi la msaada wangu. Alikuwa anafanya genetic algorithm ikakwama sehemu. Mkononi alikuwa ameshika kitabu cha Chromosomal and gene aberration. Nikatoa msaada na hapo nikawa nimepumzika na kujikuta nikiandika meseji isiyo na umuhimu sana hapa JF.

Wakati ukiandika hayo ya kwako ulikuwa unafanya nini? Ni lipi muhimu kuliko muda wako hapa JF? Usinianmbie ni kusoma ilani ya chama. Au usiniambie unasoma kitabu cha conflict resolution. Hapo nitaelewa kwamba brain yako haikuzoea mambo yanayohitaji higher brain power.
 

Hivi maiti za wanaume wawili zilizokutwa guest jana huko Tanga ....ni za watu gani .....huenda ikawa ni za waliojaribu kumuuwa Lissu Wanaanza kuuwana , kwani mnakumbuka hata wale waliomuuwa Lt Gen Imran Kombe ...Walianza kufa katika mazingira ya ajabu ajabu ....na hata wale waliokutwa na hatia wakafungwa walifia jela
 
Walishaanza kuropoka, nimemsikia mmoja jana wakiwaeleza wananchi wa kule kuwa wale waliowachagua ni wabunge halali, akasahau kuwa alishawaambia wafuasi wake kuwa anayeshirikiana na asiye "member" ni msaliti…!!!
 
Kauli ya mlaleo inaonyesha ni mmoja wa wasiojulikana, inakukera nini mtu kutoa mawazo yake? Au tuwe na uhakika aliyesema TL ni adui wa taifa ndiye mhusika? Povu jiiiingi, subirini uovu wenu uwekwe wazi.
 
kutubu huwa ni waziwazi kwa kuwa ulifanya sirini.Hiyo ndiyo kanuni ya toba ya kweli
 
ni mikumbo tu hawajui kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…