Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Actually what they did with their expectation to the man is quite disappointing them! Up to date our beloved mp is still a live there is one day they are going to walk along the street while NAKED wonderfully we cannot identify them, but they are going to carry luggage of rubbishes soon as if they are having mental defects.
 
Mbona ww hutaki waliomdhuru wadhurike ? Kwani unahisi ni watu wenye roho nzuri mkuu ?!
DUA zetu zitajibu tu.
hata kama sio kesho basi kesho kutwa!
 
Waliopanga na kutekeleza hili watakufa vifo vibaya sn.
Mungu yupo.
Asante pia Mungu Kwa kuuonesha ukuu wako.
 
Hakuna siri ya watu wawili. Watajulikana tu.
 
Mbuna umeandika upumbavu sasa,hata haueleweki wataka nin
 
Leo mmoja wao alikuwa anajikosha Dk.45 za ITV!
 
Si ajabu wakasema ni majambazi walotaka kumuibia gari,hizo ni habari za kiintelijensua
 
Mbuna umeandika upumbavu sasa,hata haueleweki wataka nin
Subiri ndugu yangu, dakika zayoyoma. Kiwewe kizito kimekikumba kitengo cha wasioonekana na wasiojulikana kilichoanzishwa awamu hii ama kuutetea utawala au ikilazimika kuwanyamazisha wakosoaji. Viongozi wa kitengo nafsi zao zinawasuta hasa baada ya njama yao ya kumuua Mh. Tundu Lissu kutofanikiwa...wanatapatapa na muda si mrefu siri yote itakuwa nje nje. Dokezo...wapo wa mtandaoni na wapo wa mtaani, je wewe special Agent MOSSAD ni wa wapi?
 
Sikio langu halijapata bado muumbuano. Msaada kwenye tuta kama hutojali mkuu
Albert Einstein — ‘If I had an hour to solve a problem I'd spend 55 minutes thinking about the problem and 5 minutes thinking about solutions.’
  • Wala njama waanza kutofautiana...
  • Wasimamizi waanza kutimuana...
  • Watekelezaji waanza kusutana...
  • Wapambe waanza kusalitiana...
  • Wasojulikana waanza kuonekana...
  • Wasoonekana waanza kujulikana...
  • Wasotaka ushauri waingiwa wasiwasi...
  • Walojiamini waingiwa hofu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…