Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Tulia sindano ikuingie vizuri kalioni
 
Akikupiga kofi shavu la kushoto mgeuzie na shavu la kulia akupige.. ndio mlivyofundishwa na sio kulipiza
Unaogopa eeh???haaaa haaaaaa haaaa
Wewe ulipokuwa unammimina Marisasi hukuujua huo msemo.
Bandugu Mutulie Basindano Babaingie Muzuri(in new muchepuko fake wa Diamond from Burundi)
 
You are so amazing!
 
Mungu yupo Leo Na milele.Damu ya Lissu haitapotea Bure.Trust me my best friend.
 
Tusubiri mwisho wake utafika tu kiwewe hiki bado kitendawili kati ya ndani yao na nje yao kila aliyetenda anaweweseka
 
Aiseeee nimechekaaaa kwa sauti..Form six anapasikia tu??
 
Dhambi ya kunuia kuua haijawahi kumuacha mtu salama.
 
Kila wakijitokeza mbele ya press nawaona jinsi mimacho inavyowatoka baada ya mipango yao ovu kugonga mwamba.
 
Roho zinawauma kwa azma yenu ovu kushindwa kuzaa matunda. Nguvu zenu za giza zimeshindwa...uwezo wa Mungu umetamalaki.
 
Mpumbavu ni wewe! Kwani huoni kuwa watu wameanza kuweweseka? Kule kutapatapa ni mwanzo wa utimilifu wa duwaa ya albadir iliyo somwa juzijuzi.
Na usisahau kwamba naye anaonesha dalili za kuwa mmoja wao...hebu ona jinsi anavyoweweseka!
 
Pole .Naomba tu nikwambuie kitu usichokijuaa
Mimi tangu nijue anayeratibu haya nimeacha kabisa kumlaumu MTU.Msamehe ummy hana ubavu wowote.
 
Huyo wa upepo ngoja nimgoogle
 
....Umeanza kuweweseka! na badoo utaongea yootee.
 
Upo sahihi wamechangishana huko kutuma hela za matumizi hosptalini hawajatuma sijui walikua na maana gani kutangaza kuchangisha na pesa mpaka sasa wanayo,Mungu anawaona
 
Mkuu "Mag3" hebu jazilizia nyama kidogo juu ya huyo "Mwingine naambiwa kawa kama gurudumu, anajazwa upepo aweze tu kumaliza siku salama, laana iko kazini".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…