Kiwi, Pixie Orange na Dragon fruits Seedilings

Kiwi, Pixie Orange na Dragon fruits Seedilings

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Kipindi hiki cha Mvua unaweza pata baadhi ya miche ya Kiwi, Pixie Orange na Dragon kwa matumizi ya nyumbani yaani Backyard.

Kiwi ni vein, na kiwi inahitaji uoteshe jike na Dume, kuna kiwi jiie na kuna kiwi Dume, na kazi ya Dume ni kuchavusha Jike. Hivyo bila kiwi Dume jike hakiwezi toa matunda.


Pixie Orange tuanzijua ni zile Seedless na ni cross kati ya weet Orange na Tangarine.

Dragon fruits au Pitaya hii ni tunda kutoka familia ya Cactis likiwa na asili ya Mexco.

Dragon kule Mexco inaitwa Pitaya na baada ya kupelekwa China ndio jina likabadilika ba kuitwa Dragon kwa sababu ya kuwa na sura kama yule Dragon wa china.

Dragon zinapenda jua kari au jua la muda mrefu sana na maeneo ya pwani, kati na kanda ya ziwa ni maeneo mazuri sana kwa Dragon fruits.

FB_IMG_1712940217706.jpg
FB_IMG_1712597335704.jpg
FB_IMG_1712290842159.jpg
IMG_20240131_123746.jpg
IMG_20240118_114739.jpg
 
Back
Top Bottom