Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Si walishaini hadi fomu ya kanuni za maadili wasikie nini tena?Hivi hao ACT wazalendo hawakusikia No reforms, no election?
ni wapuuzi, ngoja wakaangukie pua, labda waonewe huruma waachiwe wabunge wawili watatu ili kupotezea kuwa uchaguzi ulikuwa huru na hakiSi walishaini hadi fomu ya kanuni za maadili wasikie nini tena?
Hakuna rangi ataacha kuonaAtakutana na Peter Serukamba 😂🇹🇿
serukamba ni wa kushindwa na huyo mpuuzi wa ACT?Hakuna rangi ataacha kuona
Serukamba anashida sa 8:10amserukamba ni wa kushindwa na huyo mpuuzi wa ACT?