Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ubora wake uko wapi? Nyie mlishindwa kuijenga nchi, ikafika hapa ilipo.wazee wote ni waku laumiwa sana!Kuanzia miaka 1970 mpaka 1990 hiki ni kizazi Bora sana. Sio hawa viazi wa 2000s.
Mifumo yote ya kielimu, kijamii ilianza na ilianzishwa na hawa hawa wazee wa kizazi cha 1980/1990.. mifumo mibovu hii ya kujuana, Rushwa, connection,kumsifia kiongozi hata kwa sifa hasizo stahili, uchawa, kutegemea elimu upate Ajira chanzo chake vyote ni Kizazi cha miaka ya 1980/1999.
Remember a child is born with no state of mind Blind to the ways of Mankind.
Wazee ndio chanzo cha wao kushindwa kukua na teknolojia ilivyokuwa ikikua wao walibaki vijiweni kudiscuss Dini na kupiga soga zilizo zindikizwa na draft,bao na kahawa...
Poor Africa..!!!