Kizazi cha 1980s ndiyo Kizazi cha Dhahabu

Kuanzia miaka 1970 mpaka 1990 hiki ni kizazi Bora sana. Sio hawa viazi wa 2000s.
Ubora wake uko wapi? Nyie mlishindwa kuijenga nchi, ikafika hapa ilipo.wazee wote ni waku laumiwa sana!

Mifumo yote ya kielimu, kijamii ilianza na ilianzishwa na hawa hawa wazee wa kizazi cha 1980/1990.. mifumo mibovu hii ya kujuana, Rushwa, connection,kumsifia kiongozi hata kwa sifa hasizo stahili, uchawa, kutegemea elimu upate Ajira chanzo chake vyote ni Kizazi cha miaka ya 1980/1999.

Remember a child is born with no state of mind Blind to the ways of Mankind.

Wazee ndio chanzo cha wao kushindwa kukua na teknolojia ilivyokuwa ikikua wao walibaki vijiweni kudiscuss Dini na kupiga soga zilizo zindikizwa na draft,bao na kahawa...

Poor Africa..!!!
 

Nchi inajengwa na sera.
 
Umemaliza vyote mkuu. Heshima yako.
 
Kipindi mna saidiwa ku make decision na hao wazee wa 50s na 60s nyie majukumu yenu yalikuwa wapi? Mlikubali kila kitu mlicho ambiwa na hao wazee wa 50s na 60s pasipo kuhoji na kutoa maamuzi yenu kama wanajamii.

Hivyo na nyie mlikuwa Wajinga tu.
 
Maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi,mfalme katika Yerusalemu.
Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.
Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua?
Kizazi huja na kizazi hupita
lakini dunia yadumu daima.
 
Na hatujakuzwa Kwa kununuliwa midoli bali tulikuwa na uwezo wa kuitengeneza midoli na kuichezea. Tumetengeneza Magali,ndege na chochote tulichokihitaji tuliingia mzigoni kukifanyia kazi. Nailmba serikali ikae meza moja na hiki kizazi kina manufaa makubwa sana kabla hatujazeeka tufanye kitu Kwa nchi yetu
 
Mimi nimezaliwa 80s, ila uko sahihi watu wanajisifia upumbavu humu, nchi isingekuwa hivi ilivyo...wafrika tuna matatizo makubwa.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Unae kichaa , unalinganisha kitambi na mimba.


Unapologetically .
 
upo makini mzee uzi bora huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…