Kizazi cha 2000 ni kizazi kilichokosa maadili

Je, ni nani wa kulaumiwa?. Ni wazazi walishindwa kuwalea vizuri, je, ni viongozi wa dini waliwafanyia vitendo vya ukatili wa kijinsia? Au je, ni wanaume walikataa mimba na kuwatelekeza watoto wao?. Nani alaumiwe???
 
Mkuu punguza wivu na hawa madogo em tuwaache kidogo kumbuka dunia ilivyo sas vijana wameikuta dunia ishachangamka alaf ni vitu vya kawaida nikuulize....kwahy ww ulitaka utongoze ule mzigo baad ya mwezi!!!ww huon watoto wa 2000s wanavyotuokoa leo numb kesho kesho kutwa unakula mzigo
 
Nakazia
 
Mkuu hii id yako tu ndio imenichekesha. Sio kwa vitisho hivyo!!
 


Mkuu ninakazia na kapicha ka swimming costumes..!
 
Hao mashangazi wanaotukunyika nao si ndo mama na dada zao wa 90 kushuka chini au??
Hapo nani anamfundisha mwenzie tabia mbaya??
Waache watoto “Humu tuuuuu” kwa raha zao 😂😂😂
Naomba ulinzi wa comment yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…