Kizazi cha 2000 ni kizazi kilichokosa maadili

Nilipokuja kugundua wazazi wetu(watu wa 60s-80s) wana dhiki sana ndo nikaelewa wanatunyoshea sana vidole ili wajisikie vizuri kuhusu hali zao.

Mtu anajivunia kabisa eti alikuwa anatembea km8 kwenda shule, alikuwa hana viatu, kuna siku analala njaa.... kama vile ni jambo zuri
 
Si kwa ubaya lakini. Ila wewe ni Msukuma. Neno "kukoswa" linathibitisha hili.
 
Nakumbuka mbali san mwaka 2000 rupo nje nyumbani kwa bibi iselamagazi shinyanga..
Tunasubiri mwaka mpya huku tunasubiri MWISHO WA DUNIA ..
Wazee pembeni hawana wasiwasi sisi darasa la nne eti tumetoka kufanya mtihani wa mwisho w taifa duniani..
Acheni nicheke
 
Watu wana tabia ya kutukana.
Halafu kwa kawaida mtu akikutukana,anamtukana mama yako.
Jana nilikuwa nawasikiliza wabunge wanalalamika kuhusu ushoga.
So what is the point of the story? None,so far.
Sheikh mmoja alikuwa basha,sasa hivi ametangilia mbele za haki. Lakini yule Sheikh alikuwa basha na alikuwa anaongea katika khutba siku moja kwamba,"Ndugu zangu, Waislamu,mkimsikia mtu anamtukana mama yangu,msijali,msimkasirikie."
Let me hasten to add kwamba hii ni true story,kuhusu yule Sheikh aliyekuwa basha,na wanaojua wameshajua tayari.
 
Hicho kizazi cha 70 -80 ndiyo kuna tatizo kwa hapa bongo viongozi wetu wengi vijana wapo humo lakini wapo wapo tu,
 
Tuwaache. Watajifunza mbeleni huko.

Hawa hawa mabinti wa 2000s role models wao
1. Zuchu
2. Mtoto wa Kajala
3. Jokate

Hapo unategemea nini
 
Wakati unabadilika kaka, hata Sasa wosia wa marehemu hauzingatiwi ukifa mkeo ataolewa. Super!!?
 
Acha hiyo mkuu Kuna hiki kizazi kilichokuja utawala wa Magu,soon and after corona,mark my word hiki kizazi ndio the worst.Watoto hawana adabu,Wana kiburi,ukimshikia fimbo anakuangalia kama roboti wakati sisi tulikuwa tunatoka nduki.
 
Hao mashangazi wanaotukunyika nao si ndo mama na dada zao wa 90 kushuka chini au??
Hapo nani anamfundisha mwenzie tabia mbaya??
Waache watoto “Humu tuuuuu” kwa raha zao [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba ulinzi wa comment yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] humu tuu
 
Mmoja aliiba bajaji juzi walipiga nusu waue
 
Chawa pro una hoja. siku ukiacha uchawa tutakupa ujira wa kusimamia choo cha soko hapa cdt kahama
 
Mie ni wa 2000 ila nashukuru wazazi wangu kwa malezi walionipatia, wazazi wengi wameshindwa nakuanza ita nao watoto wa 2000 there is nothing with watoto wa 2000 malezi mabovu tu ya mzazi, kuja wazazi hawana tofauti tabia na watoto wao hii mishangazi kumbuka sio ya 2000 😂 sasa nayo tuiteje
 
Mishangazi ni Ile iliyolewa maisha. Pia wengi wa wanawake akili Huwa ni kisoda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…