Kizazi cha Dhahabu (golden age's) 1975 -1990 ndiyo pumuzi ya maendeleo ya taifa letu.

Kizazi cha Dhahabu (golden age's) 1975 -1990 ndiyo pumuzi ya maendeleo ya taifa letu.

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,764
Reaction score
7,758
Natafakari hichi kizazi kikiisha nini kitaendelea? maana vijana wa kuanzia 1991 mpaka sasa akili yao wanajua wenyewe

1975-1990 Ndio kizazi cha manufaa maendeleo Tanzania ndio kizazi tunachojivunia kila nyanja ndio injini ya taifa letu.

1950-1974 ndio wametufikisha hapa ambapo 1975-1990 wanajaribu kutukwamua.

1900-1949 Wapigania Uhuru wakereketwa wa kumkomboa mu Tanzania.


Natafakari tu
 
Back
Top Bottom