impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Natafakari hichi kizazi kikiisha nini kitaendelea? maana vijana wa kuanzia 1991 mpaka sasa akili yao wanajua wenyewe
1975-1990 Ndio kizazi cha manufaa maendeleo Tanzania ndio kizazi tunachojivunia kila nyanja ndio injini ya taifa letu.
1950-1974 ndio wametufikisha hapa ambapo 1975-1990 wanajaribu kutukwamua.
1900-1949 Wapigania Uhuru wakereketwa wa kumkomboa mu Tanzania.
Natafakari tu