Kizazi cha nyoka

Kizazi cha nyoka

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
Jana nimesoma kwenye gazeti habari kuhusu mtoto wa kike wa std 6 wa miaka 13 amefumaniwa akichinja kobe porini saa 4 asubuhi muda wa class....

kwa mujibu wa walioshuhudia (ilikuwa Moro mtoto anasoma shule ya Mafiga B) wanadai siku hiyo kuna jamaa walikuwa maeneo ya kazi mitaani wakamuona binti ameingia ndani ya kichaka wakashangaa ila waka conclude labda ametumwa na walimu kutafuta fimbo msituni ila baada ya muda wakamuona kijana wa kiume (si mwanafunzi) nae akijisweka kichakani umo.

Baada ya kuona hivyo wale mashuhuda machale ya kiunoni yakawacheza kuwa pale kuna namna hivyo wakasubiri kama dk 20 wakaamua kuwafuata pale kichakani na kukuta wakifanya mapenzi

baada ya kuwashika wakawachukua na kuwapeleka shuleni na kuwakabidhi kwa mwalimu mkuu inasemekana baadae mwalimu aliamuru walimu wa kike wakamchunguze yule binti na kukuta kuwa alikuwa kwenye siku zake

Baada ya kuona hivyo ikabidi wambane kwa nn amefanya mapenzi wakati yuko kwenye moon, na kujibiwa kuwa walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile

Nasikia huyo binti ni mara ya pili kufumaniwa na mara ya kwanza alipelekwa polisi ingawa baadae yaliisha kifamilia

JAMANI TUNAELEKEA WAPI AMA KWELI HIKI NI KIZAZI CHA NYOKA

Na ripota wenu FD
 
mbona kaongelewa zaidi binti,kwa nini tusielezwe zaidi kuhusu huyo kijana aliyemrubun mtoto wa shule.maana inaonekana kama binti tu ndie kafanya maajabu lkn huyo 'mwanaume' kaandikwa kijuujuu tu kama vile alivyofanya ni normal tu.kizazi cha tigo.com haya wee yesu yu karibu kuja nyie shangaeni tu muache kutubu dhambi.
 
huyu wa kiume alikuwa si mwanafunzi wa shule husika ingawa baadae aliswekwa ndani ingawa wazazi na binti yao waligoma kufungua kesi ikabidi walimu ndio watoe maelezo polisi
 
mbona kaongelewa zaidi binti,kwa nini tusielezwe zaidi kuhusu huyo kijana aliyemrubun mtoto wa shule.maana inaonekana kama binti tu ndie kafanya maajabu lkn huyo 'mwanaume' kaandikwa kijuujuu tu kama vile alivyofanya ni normal tu.kizazi cha tigo.com haya wee yesu yu karibu kuja nyie shangaeni tu muache kutubu dhambi.

😛ray2:😛ray2:😛ray2:
 
Hizi hamu za vijana wetu sijui zinatokana na GLOBAL WARMING au ni hizi junk foods?
Huu mmomonyoko wa maadili kwa sisi watu wa dunia ya tatu kuudhibiti ni vigumu sana.
 
mbona kaongelewa zaidi binti,kwa nini tusielezwe zaidi kuhusu huyo kijana aliyemrubun mtoto wa shule.maana inaonekana kama binti tu ndie kafanya maajabu lkn huyo 'mwanaume' kaandikwa kijuujuu tu kama vile alivyofanya ni normal tu.kizazi cha tigo.com haya wee yesu yu karibu kuja nyie shangaeni tu muache kutubu dhambi.

Kwani huyo binti angesema NO angelazimishwa????????
 
Mungu wangu Funzadume nimekosa la kuongea 13 yrs :confused2:
 
13 years na anatoa TiGo yaani tuseme akiambukizwa ngoma sasa hivi na hizi nyegere zake mpk afike form six atakuwa kaambukiza wangapi?
 
Back
Top Bottom