Ndio unajua leo ,mwenzako kauza amani yake kwa shetani, kwa ajili ya umaarufu na pesaHavarini.
Kizazi hiki cha sasampa hovyo kabiSA,Sikujua Lili Nas x yuko vile.Nimefuatilia dogo ana laana yule.LAANA ZIENDE
KWAKE.Alitembeaga uchi uko marekani alikamatwa aliwekwa sober house,sijajua kesi yake iliishaje.View attachment 3530672
Uzi wa kipumbavu sana huu. Ninadhani wewe una tatizo la akili.Havarini.
Kizazi hiki cha sasampa hovyo kabiSA,Sikujua Lili Nas x yuko vile.Nimefuatilia dogo ana laana yule.LAANA ZIENDE
KWAKE.Alitembeaga uchi uko marekani alikamatwa aliwekwa sober house,sijajua kesi yake iliishaje.View attachment 3530672
Maneno maneno ya kuzimu😅😅Hili neno sasampa nalisikia sana ila hadi leo sijui lina maana gani