Better late than never.umechelewa sana kulijua hilo!
Kuhonga ndio kujua maana ya uanaume? Mpuuzi mmojaPole sana.
Lakini wenzake wanaojua maana ya "uanaume" bado wanatoboka.
Acheni ubahili kama huo. Mwenzenu jiwe anahonga hadi wizara.umechelewa sana kulijua hilo!
Acha zako wewe toa helaKuhonga ndio kujua maana ya uanaume? Mpuuzi mmoja
Hoja ime balance... Safi sanaKinapotea sababu wanawake wenye thamani wanapotea pia
Huwezi kuwa busy kuhonga wakati kuna watu wanakula kijinga jinga
Ila ukipata mwanamke mwenye thamani yake kuhonga itakuja automatic tu bila hata kuombwa na mtu unless uwe mchoyo kweli kweli na mbinafsi
Leo hii wanaume wanajisifu kulala na mwanamke bure bure kama ambavyo mwanawake wanakaa salon kujisifu kuwa na mabwana wawili watatu..
Gender war ipo sababu wanaume wamekuwa irresponsible tofauti na zamani,wanawake wameshuka thamani tofauti na zamani..
Wanaume wakiulizwa kwanini hawahudumii wanasema utahudumia wkt wenzako wanakula bure wanawake wakiulizwa why wamekuwa vicheche wanasema wanaume wamekuwa madume suruali wanajaribu jaribu jali kupata mwanaume anayejua kufanya majukumu yake..
Umemaliza kila kitu mkuu big up[emoji106][emoji106]Kinapotea sababu wanawake wenye thamani wanapotea pia
Huwezi kuwa busy kuhonga wakati kuna watu wanakula kijinga jinga
Ila ukipata mwanamke mwenye thamani yake kuhonga itakuja automatic tu bila hata kuombwa na mtu unless uwe mchoyo kweli kweli na mbinafsi
Leo hii wanaume wanajisifu kulala na mwanamke bure bure kama ambavyo mwanawake wanakaa salon kujisifu kuwa na mabwana wawili watatu..
Gender war ipo sababu wanaume wamekuwa irresponsible tofauti na zamani,wanawake wameshuka thamani tofauti na zamani..
Wanaume wakiulizwa kwanini hawahudumii wanasema utahudumia wkt wenzako wanakula bure wanawake wakiulizwa why wamekuwa vicheche wanasema wanaume wamekuwa madume suruali wanajaribu jaribu jali kupata mwanaume anayejua kufanya majukumu yake..
Umenikumbusha Latipha mtoto wa Mombasa, kala sana hela zangu lakini sijutii, sauti yake ya kudeka ilikua inanimaliza sana.Naweza kuwa mbahili Kwa Aisha.
Nikawa buzi la uhakika Kwa Latipha
Umenikumbusha Latipha mtoto wa Mombasa, kala sana hela zangu lakini sijutii, sauti yake ya kudeka ilikua inanimaliza sana.