Kizazi jeuri au ni aina ya IQ aliyonayo

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,597
Reaction score
3,565
Kwasasa mitaani kuna watoto shazi kotokana ña covid 19,

Hapa ninapoishi kuna eneo "open space" watoto kwasasa wanalitumia kwa michezo yao mblmbl l.............
Natoka zangu kiosk's kufanya yangu. Mara nakatiza hilo eneo huku nikikaribia kibandani kwangu nikakuta kuna kiogomvi cha kiana cha hao machalii

Kuna dogo mmoja akaleta za kiñyang'au kuamua lile soo....lkn muonekano wake ukanipa wenge

Dogo mwenyewe ajatimba miaka kumi kanyoa kiduku kaongeza na zile rasta za kushonea zina ranging shazi kinyonga akasome

Nikaskia wenzake wakimwambia kwa kutaja jina lake "kibabu hacha kuhanya nenda kamsikilize dingilai wacha morii mchede wede""

Basi huyo kibabu akawa anakuja nikaona ngoja namimi ni mdele kinyama

Mimi:Kibabu hujambo?...
Kibabuu: Niko fiti arifu in fuulu....?

Mimi:wewe ni mwanafunzi?

Kibabuu: Ndio...! Tena mwanafunzi dume...

Nikamwambia kaendeleeni kucheza........

Nmk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…