Kizazi kilichopoteza chimbuko ndo chanzo cha matatizo mengi

Kizazi kilichopoteza chimbuko ndo chanzo cha matatizo mengi

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy.

Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines

Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu hawezi ku replicate nature, nature ina rhythm maridhawa na inajua kuishi kama wewe unavyo pumua nayo inafanya vivyo hivyo ha kutafuta balance where necessary.

Ila siku hizi watu wameachana kabisa na nature, wanaishi kwa kufuata trend za artificial life, siku hizi mtoto mdogo badala ya kucheza nje na wenzie kushika vumbi na kujamiiana na nature halisi yeye macho kwa screen tu.

Ndo maana tuna vizazi vya ovyo sana.

Watu hawa amini kabisa katika dini,

Watu wanakataa kuwa mizimu ya babu zao na laana zinaweza kuwatafuna, hawajui kuwa unavyo kataa chimbuko lako ambalo ni familia, na imani ya utamaduni zako ni sawa na kuchimbia kichwa chini na kudhani wewe siye yule utokaye kwenye jamii husika.

Ndugu zangu, kuna vitu vitazidi kuibuka kuwapimbaza na kuwafanya muhisi mnaweza kuyabadili maisha na rhythm mama ya nature kwa kudhani manjinufaisha kumbe mnajiangamiza tu.

Kuna watu wanadhani kuwa wanaishi kwa Matakwa yao, ya kuwa wana umuhimu mkubwa kuliko wengine, ila miaka na miaka nature umeendelea ku prove kuwa Mungu unaye kataa ndiye aliye kufanya uweze kupata hiyo pumzi unayo dhani imetokea by chance.

Go back to the roots and appreciate the land that raised you. Umeshawahi kwenda kijijini ukakutana na Wazee wakakuelezea maisha ya nyuma na kushiriki nao, ulijiskiaje? Si ni kama ulikuwa na uhai ndani yako?

Ni hayo tu

Ciao.
 
Back
Top Bottom