Kaka ukitaka mambo ya perfect organization. Bongo utakufa njaa ndio maana vijana wenye kampuni za Tech wanakula vizuri bila kuwa na app yoyote ya maana kwa sababu wanafukuzia grants and funds za wazungu.Mwanangu kibongo bongo bado sana , bado nchi yetu ipo disorganised vibaya mno , kwa hiyo bado hakuna kizazi bora, tembea uone.
Ujanja ujanja wa kijinga na tamaa binafsi pia nikikwazo cha kuifanya nchi yetu iwe ya maziwa na asali, mimi nakataa bado hakuna kizazi bora, labda tuchangamane sana humu duniani na tuache stories za eti bongo kumenoga.Kaka ukitaka mambo ya perfect organization. Bongo utakufa njaa ndio maana vijana wenye kampuni za Tech wanakula vizuri bila kuwa na app yoyote ya maana kwa sababu wanafukuzia grants and funds za wazungu.
Hii ni kwa sababu, intellectual property ya bongo ipo very weak na hupati mkopo hadi muwe kikundi. Watu wanaona bora wajifunze kuandika propasals tu
Zitachukua decades ama centuries za kutosha huo ubinafsi kufa mkuu. Na bongo usipokuwa mbinafsi, mwizi mwizi ama mlaghai utaishia kutumika tu na watu wenye hizo tabia.Ujanja ujanja wa kijinga na tamaa binafsi pia nikikwazo cha kuifanya nchi yetu iwe ya maziwa na asali, mimi nakataa bado hakuna kizazi bora, labda tuchangamane sana humu duniani na tuache stories za eti bongo kumenoga.
Ndio nina miaka 26 kwn kunaubaya?Yaani umezaliwa na mtu aliyezaliwa kati ya '75 na '95? Kumbe huwa tunabishana na watoto wetu humu? Dah!
🤣🤣🤣🙌Hamna lolote mlilofanya nyinyi ni janga la taifa.
Wajinga ndio nyie hamjiheshimu kbsaa, watu mshajizeekea bado mnataka mabinti Rika la watoto wenu? Nani awaheshimu?Haina shida hiyo kwasababu bado mabinti wa rika lenu wanakimbilia kwetu na huwaambii kitu.. hiyo yote inatokana na UJINGA wa kizazi chenu cha kushindwa kutafuta pesa na uvumilivu .
Kila kizazi cha awali huwa kinaona kizazi kilichopo kimepotoka. Imekuwa hivyo kwa wakati wote. Lakini hiki kizazi cha sasa kwa kweli nadhani ..."Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu:
Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia kuchukua nafasi kubwa, na kingine kilichofuata baada ya hayo.
Kizazi cha kabla ya 1985 kilikuwa cha kizamani, kikiamini katika kazi ngumu na thabiti, wakati kizazi kilichofuata kinaamini katika kufanya kazi kwa akili zaidi.
Kizazi hiki kimepitia yote: redio, televisheni, Mario Bros, Nokia, kanda za kaseti, VHS, DVD, Nintendo, PS4, maduka ya video, Netflix, Snapchat, na uhalisia wa mtandaoni (virtual reality).
Hiki ni kizazi kinachojua mila na desturi, lakini pia huhoji na kutoa maamuzi kwa kuzingatia mantiki. Kizazi kilichopita hakikuhoji, na kizazi kijacho hakijui mila na desturi.
Kikiwa daraja kati ya enzi ya viwanda na enzi ya mtandao, kizazi hiki kinaelewa pande zote mbili kwa uzoefu. Kizazi hiki kinapaswa kuwa kinachoongoza kila kitu. Kizazi cha zamani hakielewi kinachoendelea sasa, na kizazi kijacho hakijui asili ya kile walichonacho."
Mimi naona njia nzuri nitutoke kwa wingi tukaibe maarifa then tuje tuyalete kwetu .Zitachukua decades ama centuries za kutosha huo ubinafsi kufa mkuu. Na bongo usipokuwa mbinafsi, mwizi mwizi ama mlaghai utaishia kutumika tu na watu wenye hizo tabia.
Ila kwa leo wacha tubague the bad from the worst
Nyie mshazeeka tayari acheni kujifariji.
Si ndio watoto wenu? Kwanini mlishindwa kuwalea kwenye maadili mazuri? Sasa huo uzee mnao jivunia umewasaidia Nini?Ni wazee kweli ila wamezeeka na heshima zao, hawakufurwana kama nyie laanakhum, kizazi cha kuanzia 95 na kuendelea ni laana tupu,mashoga na wasagaji ndiyo wamejaa humo.
Wewe ni Gen Z?Hicho ndicho kizazi kulicho tuzaa sisi na kutupa malezi,ndicho kizazi kibaya zaidi make ndicho kimepokea haya tuliyonayo sasa
Kizazi cha 1975-1995 hakukuruhusu Nyerere atawale, kumbuka kipindi kizazi hiki.kinaingia duniani ndipo Nyerere nae akaona hakuna haja ya kuendelea, '85 akang'atuka.Kizazi ambacho kimeruhusu Nyerere atawale miaka 24 kwa ubinafsi wao,kizazi ambacho kimeruhusu Tanu na Asp kiungane kutengeneza upumbavu huu wa CCM, kizazi cha wala rushwa,Kizazi cha vijana machawa akina musiba,makonda,mwijaku,baba levo na machawa wengine,kizazi ambacho hakikufanya chochote cha maana zaidi ya kurithi miundombinu ya wakoloni! Kizazi cha kipumbavu hicho
Hii imekaa kiutafiti sana. Nakubaliana.🤝"Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu:
Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia kuchukua nafasi kubwa, na kingine kilichofuata baada ya hayo.
Kizazi cha kabla ya 1985 kilikuwa cha kizamani, kikiamini katika kazi ngumu na thabiti, wakati kizazi kilichofuata kinaamini katika kufanya kazi kwa akili zaidi.
Kizazi hiki kimepitia yote: redio, televisheni, Mario Bros, Nokia, kanda za kaseti, VHS, DVD, Nintendo, PS4, maduka ya video, Netflix, Snapchat, na uhalisia wa mtandaoni (virtual reality).
Hiki ni kizazi kinachojua mila na desturi, lakini pia huhoji na kutoa maamuzi kwa kuzingatia mantiki. Kizazi kilichopita hakikuhoji, na kizazi kijacho hakijui mila na desturi.
Kikiwa daraja kati ya enzi ya viwanda na enzi ya mtandao, kizazi hiki kinaelewa pande zote mbili kwa uzoefu. Kizazi hiki kinapaswa kuwa kinachoongoza kila kitu. Kizazi cha zamani hakielewi kinachoendelea sasa, na kizazi kijacho hakijui asili ya kile walichonacho."
🤣🤣🤣🤣🤣.... Nimecheka sana aiseeeeKizazi cha 2000 dogo anamwambia babake,"Wooza,,,Wooza,,,sorry daddy naomba ukaniletee vocha chap hapo dukani kwa Mangi",,fanya chap kidogo daddy nimalizie kudowload muvi.
nakubaliana na wewe 100% hapo israel watoto wa miaka kuanzia miaka 15 na kuendelea wanafanya mambo makubwa usipime.Mwanangu kibongo bongo bado sana , bado nchi yetu ipo disorganised vibaya mno , kwa hiyo bado hakuna kizazi bora, tembea uone.
Swala la kizazi bora ni swala subjective,namaanisha inategemea unautazama ubora huo kwa maono yapi au mtazamo upi au malezi gani uliyokulia.Nafikiri hapa tufanye upembuzi yakinifu (Analysis)ya ubora na mapungufu ya vizazi vitatu ulivyoviainisha ili baadaye tukubaliane ni yapi kila kizazi kiyaige au kiyapuuze na pia yapi yawe sehemu ya kimuundo ya malezi ambayo kila mmoja wetu atayatumia kulelea wanae au wajukuu zake au vitukuu vyake.Pia kama taifa tuzichukue nukuu hizi kufanya tafiti,kufanyia uandishi wa vitabu na kufundishia mashuleni.Wakoloni wetu wanatuzidi kwa sababu mijadala kama hii huichukulia serious na kufanya tafiti amnazo baadaye huzitumia kujirekebisha na pia kama nyenzo za kuendelea kututawala halafu wanabaki juu na baadhi yetu tunabaki kuwatukuza na kuona wanaakili sanaaa."Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu: