Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kaka ukitaka mambo ya perfect organization. Bongo utakufa njaa ndio maana vijana wenye kampuni za Tech wanakula vizuri bila kuwa na app yoyote ya maana kwa sababu wanafukuzia grants and funds za wazungu.Mwanangu kibongo bongo bado sana , bado nchi yetu ipo disorganised vibaya mno , kwa hiyo bado hakuna kizazi bora, tembea uone.
Hii ni kwa sababu, intellectual property ya bongo ipo very weak na hupati mkopo hadi muwe kikundi. Watu wanaona bora wajifunze kuandika propasals tu