Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahha mm huwa sivai insta babeinsta babe na ww ratiba yetu ya kufua kiziba utamu ipoje... daily unafua au unafua kwa mkupuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha mm huwa sivai insta babeinsta babe na ww ratiba yetu ya kufua kiziba utamu ipoje... daily unafua au unafua kwa mkupuo
hahahaha woyooooo nilisahau kama dasilamu ni joto insta babe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha mm huwa sivai insta babe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]huenda, mimi nilienda mbali zaidi nikawa nazigusisha kwenye dushe
Huwa anavaa suruali?Niliwahi kumtafuna boss wangu ofisini hakuwa na chupi
Umeliamsha dude dada angu,vbaya hvyoNacheka kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wadada ushawahi kuvaa pichu zote zikaisha mpaka ukiangalia kwenye droo hamna iliyobaki?mm nakumbuka wakati nasoma nilikuwa navaa zote hadi zinaisha ndio nazifua,au nikiwa nakaribia kwenda kwa madam moon ndio nafua,
Nilikuwa naona kufua moja moja zinanchelewesha hivyo naweka kwenye tenga then nazifua kwa pamoja,siku hiyo ntajaza kamba zote na nilikuwa nafua pichu tuu labda na leso.hahaha kilichonifanya niandike hivi hapa ni workmate wangu nilimuuliza leo mbona tetema kama lote akanambia acha tuu kipenzi nilisahau kama pichu zote nimevaa zimeisha nimevaa kibikini tuu hapa,hahaha daah nika mwambia kumbe sikuwa pekeangu,wewe je imewahi kukuta au umewahi kuvaa kufuli zote zikaisha ukakimbia kwa mangi kwenda kununua nyingine ya emergency?
Hahhahahhahahahaha woyooooo nilisahau kama dasilamu ni joto insta babe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hewa freeeeesh kabisa.Unapata afya njema[emoji39]
Kwakweli.Hahahaha mm nafua kwa kutulia weekend
Maana siwezi kuoga nikaifua hapohapo naona haiwazuki[emoji108]
😂😂😂😂 daah!Halafu anazinusa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 aiseeUtakua umeacha
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah!