Kizimba kilichokuwa kimejengwa kwa ajili ya kupandishwa bendera ya CHADEMA kimebomolewa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Kizimba kilichokuwa kimejengwa katika Kata ya Ramadhani, Jimbo la Njombe, kwa ajili ya kupandishwa bendera ya Chama wakati wa ujio wa Makamu Mwenyekiti, Mhe. John Heche, mkoani Njombe, kimebomolewa usiku wa kuamkia leo.
1781951316621.png
 
Mimi sipendi Uzembe.
Hapo kuna Uzembe Mwingi sana.

-Huwezi kujenga ka Kizimba ka Elfu tano ukajua katabaki salama.

- Wekeni hata walinzi kwaajili y Kulinda mali zenu.

-kama Mnashindwa kulinda kizimb Mtaweza kulinda nchi

SHAME.
 
Nyie c mnapiga mabilioni Ndo mana hujali mradi wa elfu tano
 
Mimi sipendi Uzembe.
Hapo kuna Uzembe Mwingi sana.

-Huwezi kujenga ka Kizimba ka Elfu tano ukajua katabaki salama.

- Wekeni hata walinzi kwaajili y Kulinda mali zenu.

-kama Mnashindwa kulinda kizimb Mtaweza kulinda nchi

SHAME.
Na hawo wapuuzi waliobomoa hicho kizimba wewe unawaona mashujaa mkuu?
 
Hawawezi mkuu,ndo maana tunapenda CCM iendelee kubaki madarakani ili wailinde nchi.
CCM ndio wanalinda nchi au ni kodi zetu ndio zinailinda mkuu? Are you frenzy?
 
Mimi sipendi Uzembe.
Hapo kuna Uzembe Mwingi sana.

-Huwezi kujenga ka Kizimba ka Elfu tano ukajua katabaki salama.

- Wekeni hata walinzi kwaajili y Kulinda mali zenu.

-kama Mnashindwa kulinda kizimb Mtaweza kulinda nchi

SHAME.
Hizo ni siasa za kipumbavu
Jamii iliyostaarabika na yenye mambo muhimu ya kufanya haiwezi kuhangaika na ubomoaji wa vizimba vya vyama vingine. Hizo ni dalili za jamii kujaa wassenge wengi
 
Hao watakuwa wahuni wa CCM na atakuwepo mfadhilii kichaa wa kufanikisha tukio hilo
 
Mimi sipendi Uzembe.
Hapo kuna Uzembe Mwingi sana.

-Huwezi kujenga ka Kizimba ka Elfu tano ukajua katabaki salama.

- Wekeni hata walinzi kwaajili y Kulinda mali zenu.

-kama Mnashindwa kulinda kizimb Mtaweza kulinda nchi

SHAME.
Moja ya janga tulilonalo kama taifa ni watu wajinga kama nyie

Ccm umeweka walinzi kwenye vizimba vyao
Chadema nao waanzishe jeshi la ulinzi wa mali zao ?
 
Back
Top Bottom