Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Nyie c mnapiga mabilioni Ndo mana hujali mradi wa elfu tanoMimi sipendi Uzembe.
Hapo kuna Uzembe Mwingi sana.
-Huwezi kujenga ka Kizimba ka Elfu tano ukajua katabaki salama.
- Wekeni hata walinzi kwaajili y Kulinda mali zenu.
-kama Mnashindwa kulinda kizimb Mtaweza kulinda nchi
SHAME.
Na hawo wapuuzi waliobomoa hicho kizimba wewe unawaona mashujaa mkuu?Mimi sipendi Uzembe.
Hapo kuna Uzembe Mwingi sana.
-Huwezi kujenga ka Kizimba ka Elfu tano ukajua katabaki salama.
- Wekeni hata walinzi kwaajili y Kulinda mali zenu.
-kama Mnashindwa kulinda kizimb Mtaweza kulinda nchi
SHAME.
Hawawezi mkuu,ndo maana tunapenda CCM iendelee kubaki madarakani ili wailinde nchi.kama Mnashindwa kulinda kizimb Mtaweza kulinda nchi
Majizi hayo. Yamezoea kupiga hela kubwakubwa. Kummammae zao!Nyie c mnapiga mabilioni Ndo mana hujali mradi wa elfu tano
CCM ndio wanalinda nchi au ni kodi zetu ndio zinailinda mkuu? Are you frenzy?Hawawezi mkuu,ndo maana tunapenda CCM iendelee kubaki madarakani ili wailinde nchi.
Hizo ni siasa za kipumbavuMimi sipendi Uzembe.
Hapo kuna Uzembe Mwingi sana.
-Huwezi kujenga ka Kizimba ka Elfu tano ukajua katabaki salama.
- Wekeni hata walinzi kwaajili y Kulinda mali zenu.
-kama Mnashindwa kulinda kizimb Mtaweza kulinda nchi
SHAME.
Mkuu nimemjibu hivyo baada ya huyo jamaa kuwaona walio bomoa hicho kizimba ni mashujaa..CCM ndio wanalinda nchi au ni kodi zetu ndio zinailinda mkuu? Are you frenzy?
Sawa mkuu. Nilikuwa sijakupata vizuri😅🤣😂Mkuu nimemjibu hivyo baada ya huyo jamaa kuwaona walio bomoa hicho kizimba ni mashujaa..
Moja ya janga tulilonalo kama taifa ni watu wajinga kama nyieMimi sipendi Uzembe.