Kizungumkuti cha msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi

Kizungumkuti cha msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi

Mtutuwandei

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
1,317
Reaction score
1,817
Raisi wa Tanzania alitowa msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi kwa watakaolipa kufikia 31 Disemba. Msamaha huu ulipigiwa debe na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi.

Ni kwa nini utekelezaji wake unalazimisha watu wajaze fomu ya maombi wa msamaha? Isingekuwa jambo jepesi kuweka utaratibu wa kufuta hiyo riba itakapoonekana kwenye mfumo kwamba deni lililobaki ni riba peke yake?
 
Back
Top Bottom