Kizungumkuti cha NECTA wanafunzi hawa hawakufanya mtihani kidato cha IV lakini wamefaulu!

Bayana

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
433
Reaction score
71
''WAKATI mjadala wa matokeo mabaya ya kidato cha nne ukiendelea kulitikisa taifa, kashfa mpya ya matokeo hayo imeibuliwa.

Kashfa hiyo mpya imeibuliwa na Mkurugenzi wa Shule ya Green Acres, Julian Bujugo, kwamba matokeo ya baadhi ya shule nchini ikiwamo yake yamechakachuliwa.

Akizungumza na gazeti hili jana, Bujugo alisema kuwa baadhi ya wanafunzi kwenye shule yake hawakufanya mitihani ya kidato cha nne, lakini matokeo yanaonesha wamefaulu kwa kupata alama za juu.
Alitaja mfano wa mwanafunzi, Humphrey Sanga, mwenye namba 01197/148, ambaye hakufanya mitihani hiyo lakini matokeo yanaonesha amefaulu kwa kupata alama nzuri.

“Huyu mwanafunzi tulimsimamisha na hakufanya mitihani, lakini matokeo yake yanaonekana amepata hivi; Civics D, Historia D, Jiografia C, Kiswahili D, English C, Physics D, Chemistry C, Biology C, Basic Mathematics D, ambapo amepata daraja la tatu pointi 24,” alisema Bujugo.

Alimtaja mwanafunzi mwingine, Martin Rushaigwa, namba 01197/0173, ambaye alifanya masomo ya ‘Arts’.
Alisema matokeo ya mwanafunzi huyo yanaonesha kuwa ameongezewa alama za masomo ya biashara ya Bookeeping na Commerce, ambayo hakuyafanya kabisa.

Alimtaja mwanafunzi mwingine aliyefanya mtihani huo lakini matokeo yake yanaonesha amewekewa ‘absent’ na mwanafunzi mwingine, Mbazi Volta, hakufanya mitihani lakini amepewa alama za ufaulu.

“Matokeo hayo yananipa wasiwasi kwamba yanaweza kuwa yamechakachuliwa,” alisema Bujugo.

Mkurugenzi huyo anaiomba Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kurudia kusahihisha mitihani hiyo ili kuondoa ukungu ulioligubika taifa kwa sasa kuhusu matokeo ya kidato cha nne.''

Source: Tanzania Daima 21 Feb 2013

Ikithibitika kama hili ni kweli, mheshimiwa rais JK please timua hiyo timu ya wizara ya elimu na uweke wachapa kazi wengine.

Waziri wa elimu na Ndalichako watakuwa wameshindwa kutekeleza majukumu yao.
 
Hamna kitu hapa, ni kwa sababu tuu matokeo hayakutoka na majina na namba ndio maana zinaibuka shutuma za ajabu kama hizi. Mbona hakuna mtu anayehusisha hayo madai na nyaraka zozote za mitihani? Si mdai, si mwandishi. Mdai aweke uhusiano wa madai na nyaraka husika ili tuweze kuwauliza NECTA vizuri.

Tuta amini vipi kwamba hiyo namba kweli ni ya mtahiniwa ambaye hakufanya mtihani? Nafikiri waandishi kuna baadhi ya vitu wanatakiwa kuhoji kabla ya kukimbilia kutoa habari.

Kutokana na matokeo kutoka kwa namba hata wewe unaweza kusema chochote sasa hivi, ili tukutilie maanani weka uthibitisho mathubuti sio maneno tuu.
 
Ule wimbo wa Tanzania Tanzania

  1. Tanzania Tanzania... nakupenda kwa moyo wote.. nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana... nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee.. Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote....
  2. Nchi yangu Tanzania ninapokwenda safarini kutazama maajabu biashara nayo makazi... sitaweza kusahau mimi mambo mema ya kwetu hakika... Tanzania x2 nakupenda kwa moyo woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nchi hii imeisha, kama ni kweli. Waziri anayeshughulika na elimu inabidi ajiuzulu
 
kwangu mimi hii haimanishi kwamba NECTA wamechakachua matokeo kwani makosa kama haya yapo si kila mtendaji wa NECTA anaweza faya kazi yake kwa umakini, mbona hata vyuo vikuu matatizo kama haya hutokea? Kwa mfano matokeo ya vyuo vikuu mtu anawweza pata SUP. kimakosa, mtu anaweza onyehwa hakumaliza course work hata kama alimaliza, naweza akaandikiwa hakufanya UE hata kama alifanya, hivyo tujikite kwenye hoja ya msingi hasa kwenye mfumo wa elimu na wizara ya elimu kwa ujumla!
 
Uongo mtupu tena hiyo shule bora angesema mwingine
 

Kabla hujaandika upuuzi wako hapa JF ni vyema ukashirikisha kauwezo kako kadogo uliko nako. Mkuu wa shule anathibitisha kuna wanafunzi hawakufanya mtihani, lakini cha kushangaza matokeo yao yametoka na wamefaulu, wewe unataka kutuaminisha ya kuwa hawakuangalia vizuri number zao. Nidhahiri una matatizo ya kufikri, unataka tuamini ya kuwa macho yako yanaona vizuri sana kuliko watanzania wengine? Kumbuka hii kesi siyo ya mwanafunzi mmoja. Usikurupuke kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu.
 
Majina na Namba haya yote usingeyasikia pia ukweli utajulikana.
Nchi mbona ina maajabu saba ya Dunia kwa kweli.

Hivi kweli haya yote Rais hayasikii/ni vema japo akasema neno kuhusu haya maneno ya ubovu wa matokeo.

Dr. Shukuru,Dr. Ndalichako, na watendaji wengine hivi haya mambo mpaka tupate pesa ya Japani Yeni/Dollar ya Marekani ndiyo yawe Historia katika Nchi hii.

Mungu ana kazi kubwa sana na Nchi yetu maana anaiangalia kwa jicho la Huruma ila hawa Viongozi wetu ndiyo tabu jamani.

Hawa waliopata matokeo mazuri wafuatiliwe kama ni kweli pia ni watoto wa nani? Ndalichako pia nadhani ana majibu ya maswali yetu.
 

Sasa mkuu unataka nani akuthibishie kama mwenye namba ndio aliotajwa zaidi ya mwenye shule? Du! Watu wengine mmejaaliwa ubishi hakika
 

Una hamaki na kunikashfu lakini wewe ndio mimi nahisi wewe ndio mwenye matatizo deal na hoja usideal na mimi, nieleweshe kama mimi ninavyoku elewesha.

Kwako wewe mkurugenzi wa shule ndio mkuu wa shule?....kama hujui taratibu uliza usaidiwe. Mimi nimeomba uthibitsho wa nyaraka kwani ndio kitu pekee kinachoweza ku-support hiyo argument. Nili ingiwa na mashaka baada ya kusikia ni mkurugenzi wa shule kwani nimeshuhudia wakurugenzi wengi hawaelewi mambo ya naenda vipi.

Hivyo argument yangu ni kujaribu kuangalia vitu gani vinaweza kusababisha hoja kama hiyo iliyo tolewa na mkurugenzi wa Green Acres. Sipingi hoja yake bali nataka aende mbali zaidi kuithibitisha ili nimuunge mkono. Inawezekana nimekuwa aggressive kwa kutumia neno hamna kitu hapo kwenye hayo malalamishi lakini ukweli ni kwamba nimeona taarifa haijani-convince nimuunge mkono.
 


Kaka hata wewe unahitaji kujiuliza... una uhakika gani kama hiyo namba ni ya mtajwa husika.. atoe documents akiambatanisha uhakiki wa namba ni wa muhusika ndo tuendelee kujiuliza vizuri... kwa maana hiyo hata wewe mwenywe unastahili kushirikisha akili yako kuliko kukubali moja kwa moja... inawezekana hiyo namba si ya mtahiniwa aliyemtaja ambaye hakufanya mtihani, wewe uta hakiki vipi sasa.... acha kuvamia watu bila ya kujiuliza maswali na wewe mwenywe binafsi.....
 
Sasa mkuu unataka nani akuthibishie kama mwenye namba ndio aliotajwa zaidi ya mwenye shule? Du! Watu wengine mmejaaliwa ubishi hakika

Mwenye shule sio mtendaji, nataka mwalimu mkuu wa Green Acres athibitishe hii taarifa, kwani yeye ndio ana husika na nyaraka husika za uthibitisho, ila kwa jinsi ilivyo kaa mkurugenzi ana room ya kuja kusema kwamba alipotoshwaa mkuu wa shule.
 
Bwana Bujugo mbona kuna namba tu.......nisaidieni

[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[h=1]CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
[/h][h=3]S1197 GREEN ACRES SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 5 DIV-III = 13 DIV-IV = 98 FLD = 82[/h]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]CNO
[/TD]
[TD="width: 4%"]SEX
[/TD]
[TD="width: 6%"]AGGT
[/TD]
[TD="width: 4%"]DIV
[/TD]
[TD="width: 58%"]DETAILED SUBJECTS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0001
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]27
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0002
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0003
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0004
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-D B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0005
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D B/KNOWL-X KISW-D ENGL-C BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0006
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0007
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0008
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D B/KNOWL-X KISW-D ENGL-D LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0009
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-C ENGL-D PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0010
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0011
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0012
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0013
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0014
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0015
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0016
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-C PHY-F CHEM-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0017
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0018
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0019
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0020
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-D LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0021
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0022
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]19
[/TD]
[TD="width: 4%"]II
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B LIT ENG-X PHY-C CHEM-C BIO-B B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0023
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0024
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-D B/KNOWL-D KISW-F ENGL-C LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0025
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-F ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0026
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D LIT ENG-X BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0027
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0028
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]25
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-C HIST-D GEO-D KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F COMM-D B/KEEPING-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0029
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0030
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0031
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-C LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0032
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0033
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0034
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]23
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-C GEO-D KISW-C ENGL-C PHY-D CHEM-C BIO-C B/MATH-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0035
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-D LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0036
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0037
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0038
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-C PHY-F CHEM-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0039
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0040
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D B/KNOWL-F KISW-D ENGL-C BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0041
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0042
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-X KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0043
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-C ENGL-C LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0044
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]-
[/TD]
[TD="width: 4%"]ABS
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-X HIST-X GEO-X KISW-X ENGL-X BIO-X B/MATH-X
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0045
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]27
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-C B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0046
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]22
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C PHY-D CHEM-D BIO-C B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0047
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0048
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0049
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-X BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0050
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0051
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0052
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-F KISW-D ENGL-C LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0053
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0054
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]19
[/TD]
[TD="width: 4%"]II
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-C HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-B PHY-C CHEM-C BIO-B B/MATH-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0055
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0056
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0057
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-C ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0058
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]26
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-C ENGL-C PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0059
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0060
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0061
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-C ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0062
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-D B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0063
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-F ENGL-D LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0064
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0065
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0066
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-F CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0067
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0068
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0069
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]27
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-D KISW-C ENGL-D LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0070
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0071
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-D KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0072
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-F CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0073
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-X KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0074
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-X KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0075
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0076
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0077
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0078
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0079
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]23
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-C B/KNOWL-F KISW-C ENGL-C PHY-D CHEM-D BIO-C B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0080
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D B/KNOWL-X KISW-D ENGL-C BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0081
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0082
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0083
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0084
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0085
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0086
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0087
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0088
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0089
[/TD]
[TD="width: 4%"]F
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0090
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]22
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C PHY-D CHEM-D BIO-C B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0091
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]-
[/TD]
[TD="width: 4%"]ABS
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-X HIST-X GEO-X KISW-X ENGL-X BIO-X B/MATH-X
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0092
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]23
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-C B/MATH-D COMM-C B/KEEPING-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0093
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0094
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-X KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0095
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-X KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0096
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0097
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0098
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0099
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]27
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-C PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0100
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0101
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0102
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0103
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0104
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]26
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-D KISW-C ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0105
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0106
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-C B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0107
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0108
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]20
[/TD]
[TD="width: 4%"]II
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-C HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B PHY-C CHEM-C BIO-C B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0109
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C PHY-F CHEM-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0110
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-D LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0111
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-F ENGL-C BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0112
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0113
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F B/KNOWL-X KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0114
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]26
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-D KISW-D ENGL-C BIO-C B/MATH-F COMM-D B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0115
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0116
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0117
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0118
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0119
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0120
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0121
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0122
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0123
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]25
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-C BIO-C B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0124
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0125
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]*W
[/TD]
[TD="width: 4%"]*W
[/TD]
[TD="width: 58%"]---
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0126
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-D PHY-F CHEM-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0127
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-D COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0128
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0129
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0130
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0131
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0132
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]25
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-C HIST-C GEO-D KISW-D ENGL-C BIO-C B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0133
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0134
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0135
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0136
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]21
[/TD]
[TD="width: 4%"]II
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-D KISW-C ENGL-B PHY-D CHEM-C BIO-B B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0137
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0138
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0139
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-X KISW-F ENGL-F LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0140
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]24
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-C HIST-D GEO-C KISW-D ENGL-C BIO-C B/MATH-D COMM-D B/KEEPING-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0141
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0142
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-F KISW-F ENGL-C PHY-F CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0143
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]26
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-C GEO-D KISW-D ENGL-C BIO-D B/MATH-F COMM-D B/KEEPING-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0144
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]-
[/TD]
[TD="width: 4%"]ABS
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-X HIST-X GEO-X KISW-X ENGL-X BIO-X B/MATH-X COMM-X B/KEEPING-X
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0145
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-X KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0146
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-D B/MATH-D COMM-F B/KEEPING-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0147
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]20
[/TD]
[TD="width: 4%"]II
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C PHY-C CHEM-C BIO-B B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0148
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]24
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-C KISW-D ENGL-C PHY-D CHEM-C BIO-C B/MATH-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0149
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-D KISW-F ENGL-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0150
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0151
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]24
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-C GEO-D KISW-D ENGL-C PHY-D CHEM-D BIO-C B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0152
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0153
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0154
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0155
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0156
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-F CHEM-D BIO-D B/MATH-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0157
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0158
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0159
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0160
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]25
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-D KISW-C ENGL-C PHY-D CHEM-D BIO-C B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0161
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-F BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0162
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0163
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0164
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0165
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0166
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F PHY-F CHEM-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0167
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-F PHY-D CHEM-D BIO-C B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0168
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-X KISW-F ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0169
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0170
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0171
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-D LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0172
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]-
[/TD]
[TD="width: 4%"]ABS
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-X HIST-X GEO-X KISW-X ENGL-X BIO-X B/MATH-X
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0173
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0174
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0175
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]25
[/TD]
[TD="width: 4%"]III
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-C HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-C PHY-D CHEM-D BIO-C B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0176
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0177
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0178
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0179
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0180
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-X KISW-F ENGL-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0181
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]31
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0182
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-X BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0183
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0184
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0185
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-C GEO-F KISW-F ENGL-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0186
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-D PHY-F CHEM-F BIO-C B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0187
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0188
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0189
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-D B/KNOWL-X KISW-D ENGL-D PHY-F CHEM-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0190
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-X BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0191
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-D COMM-F B/KEEPING-D
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0192
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]30
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0193
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0194
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0195
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-D GEO-F B/KNOWL-F KISW-D ENGL-D BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0196
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]26
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-C PHY-D CHEM-C BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0197
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-D LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0198
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]29
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-D BIO-C B/MATH-F COMM-F B/KEEPING-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0199
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]35
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0200
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]28
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-C GEO-D KISW-D ENGL-D LIT ENG-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0201
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0202
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]32
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-D HIST-F GEO-D B/KNOWL-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0203
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]33
[/TD]
[TD="width: 4%"]IV
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F PHY-F CHEM-F BIO-D B/MATH-F


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/h]
 

mfumo kristo upo kazini !
 
basi tuwaambie necta waonyeshe majina ili tuthibitishe wenyewe kile kinachosemwa.
wengine bwana unaweza kukuta kuwa mianya wa wizi wa mitihani imedhibitiwa kuliko hapo nyuma sasa inakuwa balaa, shule nyingi zianpoteza sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…