A
Anonymous
Guest
JamiiForums tupazieni sauti wanafunzi wa vyuo tunateseka hadi sasa hivi hatujapata boom la pili, hali ni mbaya, kula shida, madeni kila mahali hadi watu tunaona maisha magumi na wengi wetu hatuna watu wa kuwategemea zaidi ya huo mkopo