A
Usiseme hivo kuna vyuo havijafunga tarehe 24 darasani 25 sikukuuRelax dogo vyuo ndo kwanza vinafunguliwa na waliotangulia wana approximately weeks kadhaa tu.
Haya mambo ya kupenda kulalamika lalamika ndo yanawafanya mnakuwa walaini, Bure kabisa
🤔🤔🤔🤔Usiseme hivo kuna vyuo havijafunga tarehe 24 darasani 25 sikukuu
Achilia mbali hilo watu wamekaa siku zaidi ya 77 chuo yaani siku 17 zaidi ili wapate boom lapili ila hawajapata unazani wanaishije chuoni wanasomaje wanaendaje chuo wanaendeshaje maisha
SUALA LA BOOM NI CHANGAMOTO
Futa members wenye mawazo ya kitoto. Hili ni jukwaa la great thinkers na watu wazimaKwa hiyo sada wadada wa chuo ukigisa tuu unapewa mbususu
Kuna vyuo havikufungwa kabisaa lakiniRelax dogo vyuo ndo kwanza vinafunguliwa na waliotangulia wana approximately weeks kadhaa tu.
Haya mambo ya kupenda kulalamika lalamika ndo yanawafanya mnakuwa walaini, Bure kabisa
Kila mtu ashinde mechi zake! Hawa watoto Kwa nini wasianzishe kunji hapo rev square kama sisi tulivyokua tunakinukisha miaka ya 2010s udsm.... Mbususu kwetu SISI ni muhimu tusipangiane maisha, km boom kwao muhimu wapambanieFuta members wenye mawazo ya kitoto. Hili ni jukwaa la great thinkers na watu wazima