Kizuri kula na mwenzio!!!! itakufaa na wewe.

Jamani enjoy the time God has blessed u with........forget whatever happened and stop going into the root of the problem, rem that He had a problem now you are blessed that the problem is gone so ENJOY THE MOMENT, LEARN HOW TO THANK THE BLESSINGS OF LORD......
 

Mimi si daktari, ila kwa uzoefu wangu hata kwangu mimi mwenyewe, ukimuangalia mtu anayelia na wewe unajikuta unalia, hata kwenye misiba unadhani wote wanaolia wanamlilia aliyekufa?hapana, bali wengi ni kwa sababu ya kuona watu wanalia kwa uchungu na kuomboleza basi na wewe unajikuta unahuzunika hata kama aliyekufa humfahamu hata kidogo. Hii imeshanitokea hata mimi si mara moja wala mbili, sijui kwa wenzangu!!!!!!!
 
Hapo kwenye red hata mimi najiuliza sana kapewa nini ? isije kuwa ile kitu !!!!!!

 

Duh, susy! hutuamini kiasi hicho? tu,mekufanya nini sisi?
 
dadam pole na hongera kwa uvumilivu wako!Mumeo alikuwa na matatizo ya kisaikolojia,hasa ya kutoridhika.Kwa hiyo jitahidi kumpa vitu ki-ufundi sana hilo apple na umpikie misosi inayorutubisha na kuongeza mbegu za kiume ili awe na hamu ya kufanya mapenzi,si anatafuta ham si kwa kudunga wengine.Vyakula hivyo ni mdalasini+asali,karanga mbichi,maziwa fresh na soya hata ikibidi pweza hasa supu yake.Fanya hivyo utaona atavyotafuna apple hadi kokwa la ndani hatalitupa.
Pia endelea kuwa soap soap na uwe mpole na sexy ili aache tamaa,awekeze akili zake kwako.

LA MSINGI JITUME ARIDHIKE ILI KUEPUKA HIYO TABIA ISIJIRUDIE.


nunua tv kwako ili mtoto asiende kuangalia tv kwa jirani.
 
asanteni wapendwa kwa maoni yenu....leo nilimpigia yule dada kumweleza hali halisi. alinitoa wasiwasi na kuniambia kua anasajili kampuni kwa ajili ya kutoa ushauri wa kisaikolojia chini ya wizara ya afya na sasa yupo katika hatua za mwisho kabisa. kaniambia kama nina wasiwasi na kazi yake niende Dar ataniridhisha kwa vidhibitisho vya utaalam wa kazi yake. aliniambia ni elimu ya kawaida na akanambia niangalie kwenye mtandao kitu kinachoitwa Sexual disorders...nimeangalia na tatizo alilokua nalo mume wangu ni sexual disorder inayoitwa EXihibitionism na pedophilia. unaweza kuangalia pia
 

wanawake wanatofauti gani?hahahaha
 


sawa nakutakia kila la heri kwa kufanikiwa kutatua tatizo. Hila kusema eti mtu wa morogoro na wa dar hawawezi kuwasiliana kila siku mmmmmm sio kweli....................
au kukutana siku mbili tu ndio hawezi kukutana nae tena mmmmmmmmmmmm sio kweli.............. Kuwa makini dada na mumeo na hiyo tiba aliokutaftia rafiki yako.

Mie najiuliza kwanini alikutaftia saikolog wa kike na sio wa kiume? Na inakuwaje awe wa kiolela na wa kupeana peana?


Sio kama nakutisha, ila nakumbuka kuna rafiki yangu alilaghaiwa na marafiki zake hivo hivo, walijifanya wema wanamsaidia. Yeye alikuwa aelewani na mumewe, akashauri hivo hivo, tatizo lilisha ila mwisho yaliotokea mmmmmmmmmm yaliumiza kila mtu. Ningekuwa mie ningefuatilia zaidi tiba gani kapewa na kinachoendelea, sababu tatizo la kisaikologia haliishi haraka haraka, treatment inaendelea tu hapo, kuwa makini sist
 
Bado cjajua kama tatizo umelisema ama la kwani nimepata ukakasi kwenye bolded words hapo.
nb. jf ni mahali pa kujimwaga,bora usiwe mnafiki etc. karibu jf na pole kwa yaliyokusibu.
 
Msh..........z wa tabia tena mkubwa mkubwa tu, nyie ndio watu mnaofitini ndoa za watu, na kuwa na wivu usio na maana. yaelekea wewe ni kati ya ile mijishangingi inayotafuta waume but imekosa. kwa nini kumkatisha tamaa mwenzio namna hiyo tena unaonyesha kabisa kufurahia kumuumiza moyo mwenzio lol, tabia mbaya sana sana.
 



mmmh, somoe unalo la kujitetea hapa?
 
Hongera kwa uvumilivu na umshukuru Mungu kwa huo muujiza.
 
khaaa mume muonyesha ashakum khaaa,hongera kwa uvumilivu dada weye ni wa pekee!
 
mmmh, somoe unalo la kujitetea hapa?

Sina la kujitetea kwa hili, naona nae ni mmoja ya wenye matatizo ya kisaikologia na wanaitaji tiba ya kumwagia mbegu zao watu, ili waokoe ndoa zao:A S 465::A S 465::A S 465:
 
Kwanza hongera kwa uvumilivu uliouonyesha kwa mumeo kama ni kweli kwani napata mashaka kidogo na stori yako nikiwa naendelea kusoma posti zako ktk thread hii,Inaonyesha kama unatangaza biashara fulani hivi ya huduma ambayo uko mbioni kuifungua,ok sijui??????? ni mawazo tu dadam,samahan kama nimekukwaza.
 
Wanawake tuige mfano wa dadam, hivi ingekuwa wale walalamaji ooh mume kafanya hivi ooh hivi, angekuwa na huyu ungesemaje? Jamani nyumba zina mambo mengi sana, ila tushukuru kwa yote.

Dada pole sana kwa yote yalitokea, uwe na moho wa ushujaa, pambana kutetea chako, wanaume ni wale wale, hata wanawake ni wale wale. Ukimwacha mumeo leo usitegemee utapata mume mzuri, sana utapata kiboko ya njia, utaachika mara ngapi? Tujifunze kutoka kwa huyu dada.Kulalamika kuwe kudogo.

Jamani msamalia mwema naomba anifundiishe jinsi ya kupost thread mwenzenu kihiyo sijui, nitaishia kuchangia za wenzangu zangu kuweka NGUMU, ebu mmoja ajitolee ani PM. Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…