Kizuri kula na wenzio!..Achana na Admob piga Facebook ads

Kama una mpango wa kudumu wa kupata dollar 100-200 kutwa kupitia app yako achana kabisa na google adsense[admob] wewe kiroho safi bila invalid wala pressure weka fb ads.

Taratibu ndiyo mwendo.

msiseme hamkuambiwa
Fafanua mzee..how Facebook ads..

Maana kuziomba sio rahisi..nimejaribu naishia manyotanyota tu
 
Fafanua vizur mkuu,hiyo ni nini,inafanya vipi kazi,faida yake na changamoto zake....Hapo utakuwa umetusaidia kufahamu

Sorry. hii ni kwa admob users. labda uandike uzi wa kuomba kujua admob ni nini.sijui ufafanuzi.

lakini kwa ufupi ni kulipwa kwa google kuweka matangazo katika application yako. kama wewe ni developer au unayo app active
thanks
 
Ok. mwambie developer wako akuconect na facebook. ni nzuri kuliko admob.hawana sheria za kijinga.una uhakika wa kupata jasho lako kuliko admob. kosa moja wanasepa na fedha yako yote.
Developer ni Mimi..natumia appyet kucreat app..nachotaka kujua ni namna ya kujiunga na hiyo Facebook ads..ama weka link yao
 
Tafadhali hii post ililenga watu wanaojua issues za apps tu. si kila post inahusu kila mtu. sijui kufundisha,so naomba msinisumbue inbox na maswali ambayo sina nafasi ya kuyajibu. Nafikiri mkigoogle au humu JF mtaelewa how admob work au facebook ads.

Nililenga kueklezea kuwa hivi baada ya k=google kuonekana kama scam hivi.mtu unatengeneza dollar elf 7 baadaye wanasepa nayo two days before hujatoa ndipo nikaja na suluhisho kuwa facebook ads ni nzuri kuliko hiyo google.

kila mweze fb account anaweza conect app yake akapata ads.

thanks
 
Kwahyo unataka upige hela peke yako au sio..basi usingeweka uzi ungebaki wewe na wenzio mnaojua hayo mambo mpige hizo hela kuliko kuja kuanzisha uzi halafu unashindwa kutupa hizo mbinu za kupiga hela

lengo lake ni kuringishia watu, na sio kuonyesha njia alizopitia ili na wengine wapite himo.
Si unaona mwenyewe anavyojibu kwa jeuri
 
Nyie vijana vipi. Nina miaka 10 humu JF.ninajua namna ya kuwasilisha hoja.
Nimesema post yangu haikulenga kufundisha au keleza namna ya kupata fedha NO! Post ililenga kutoa tip kwa wanaofanya admob kuwa wafanye facebook ads. developer wengi na wanaolewa nini kinaongelewa kama MziziMkavu wamepia hapa na kutoa thanks na kusepa. sasa nyie mnafikiri hii post ni kuelezea what is admob,faceboiok ads nk. Sikujipanga kwa hilo.

Post za kufundisha bure zipo nyingi nenda mkasome basi!
Siyo lazima linalopostiwa humu ulijue in and out! utachizi!

Karibu
 
Asante cha kwanza mm si kijana kama unavyonifikiria pili sijajiunga JF juzi...tatu post yako hii sasa ndo umeeleweka. Nina ombi moja kama kuna link inayozungumzia hayo mambo hapa Jf hebu share na sisi basi tupate walau elimu kidogo
 
Nyie vijana vipi. Nina miaka 10 humu JF.ninajua namna ya kuwasilisha hoja.
Nimesema post yangu haikulenga kufundisha au keleza namna ya kupata fedha NO! Post ililenga kutoa tip kwa wanaofanya admob kuwa wafanye facebook ads. developer wengi na wanaolewa nini kinaongelewa kama MziziMkavu wamepia hapa na kutoa thanks na kusepa. sasa nyie mnafikiri hii post ni kuelezea what is admob,faceboiok ads nk. Sikujipanga kwa hilo.

Post za kufundisha bure zipo nyingi nenda mkasome basi!
Siyo lazima linalopostiwa humu ulijue in and out! utachizi!

Karibu
Mkuu mimi sijasepa bado nipo hapa hapa Jamvini.
 
Back
Top Bottom