Kizza Besigye, mkosoaji maarufu wa Rais Museveni atekwa akiwa Nairobi, Kenya, Mkewe atoa tamko!

Kizza Besigye, mkosoaji maarufu wa Rais Museveni atekwa akiwa Nairobi, Kenya, Mkewe atoa tamko!

Lisu ana Mungu wake asiyelala, ndiyo maana hata jaribio la mshenzi jiwe la kutaka kumuua kwa kummiminia risasi lilishindwa. Makonda aliyetumwa kumuua Lisu ndiye aliyeaibika
Nyumbu kuelimika ni ngumu sana
 
Mimi huwa nashangaa sana hivi Vidikteta uchwara vya Kiafrica nakumbuka baada ya Uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Wajina wako Dikteta Magu alivyokuwa anamfuatilia Lissu, mpaka akahamia Ubalozini na siku ya kuondoka Tanzania akasindikizwa na Balozi mpaka Airport.

Viongozi wa Kiafrika wana ujinga mwingi sana, badala ya kushughulika na Changamoto za Taifa lako unaanza kushughulika na Mpinzani.

Rest in trouble Magufuli
Cc: Mshana Jr
Tlaatlaah aah
Nyumbu kama wewe kuelimika ni ngumu sana
 
Hela zao za kufanyia vurugu wanapokelea Nairobi, halafu wanaziingiza kwa njia za Panya, Lissu anazileta Tanzania, Byesigye Uganda. Maranja anatumika sana katika hili, na ndio linamuweka mjini wakati biashara yake ni kuu za makava ya simu tu
 
Mimi huwa nashangaa sana hivi Vidikteta uchwara vya Kiafrica nakumbuka baada ya Uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Wajina wako Dikteta Magu alivyokuwa anamfuatilia Lissu, mpaka akahamia Ubalozini na siku ya kuondoka Tanzania akasindikizwa na Balozi mpaka Airport.

Viongozi wa Kiafrika wana ujinga mwingi sana, badala ya kushughulika na Changamoto za Taifa lako unaanza kushughulika na Mpinzani.

Rest in trouble Magufuli
Cc: Mshana Jr
Tlaatlaah aah
Sasa unafikr yule.mzee alikua na akili alitumia nguvu nyingi kuwa prove wrong na kushindana watesi wake
 
Mimi huwa nashangaa sana hivi Vidikteta uchwara vya Kiafrica nakumbuka baada ya Uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Wajina wako Dikteta Magu alivyokuwa anamfuatilia Lissu, mpaka akahamia Ubalozini na siku ya kuondoka Tanzania akasindikizwa na Balozi mpaka Airport.

Viongozi wa Kiafrika wana ujinga mwingi sana, badala ya kushughulika na Changamoto za Taifa lako unaanza kushughulika na Mpinzani.

Rest in trouble Magufuli
Cc: Mshana Jr
Tlaatlaah aah
MTAKATIFU MAGUFULI...............walio kwenye hizo trouble tunawaona...
 
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda, Kizza Besigye (68), anadaiwa kukamatwa na kuwa chini ya ulinzi wa kijeshi akiwa nchini Kenya.

Mke wa Besigye, Winnie Byanyima, ambaye pia ni mtetezi wa haki za binadamu, alieleza kuwa mumewe alikamatwa mjini Nairobi, Kenya, alipokuwa akihudhuria hafla ya uzinduzi wa kitabu.

Soma pia: Muuza Viatu aswekwa rumande kwa 'kumdhalilisha' Museveni na Muhoozi

Besigye, ambaye ameshawahi kugombea urais dhidi ya Rais Yoweri Museveni mara nne, si mara ya kwanza kukamatwa.

Aliwahi pia kupigwa risasi na kupata jeraha la jicho baada ya kushambuliwa kwa maji ya kuwasha.

Ikumbukwe kuwa mapema mnamo Juni 2022, Besigye alikamatwa kwa kuongoza maandamano nchini Uganda kupinga mfumuko wa bei za bidhaa nchini humo.

Maandamano yake yalitokea takriban wiki moja tu baada ya Rais wa zamani wa chama cha Forum for Democratic Change (FDC) kuachiliwa kutoka gereza la Luzira kwa mashitaka ya kuchochea machafuko na mkusanyiko usio halali.

Msemaji wa Polisi wa Mkoa wa Kampala, Patrick Onyango, alisema kuwa mgombea huyo mara nne wa urais alizuia biashara, kusababisha msongamano wa trafiki, na kuchochea vurugu.

Kiongozi huyo alikamatwa siku ya Jumanne, Juni 14, 2022, katikati ya jiji la Kampala, ambapo alikuwa amehamasisha wafanyabiashara "kuamka" na kuungana naye katika mapambano ya kumkomboa Uganda kutoka kwa utawala wa Rais Yoweri Museveni, ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 1986.

Source: X News, Tuko Kenya

IMG-20241120-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom