mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Hii Dayosisi ina makando kando mengi sana, walichangisha pesa kwa ajili la kupanda miti ekali zaidi ya 1000 kwa makanisa yote ya Dar es Salaam kuwa ule mradi ni wa vijana leo hii hakuna hata mchicha umepandwa na si ajabu yale mashamba wameshagawana maaskofu.
Ikitokea mtu akasema ukweli kua pamejaa matapeli mnamsimamisha huu ni UPUMBAVU
Ikitokea mtu akasema ukweli kua pamejaa matapeli mnamsimamisha huu ni UPUMBAVU