Nimependa msimamo wao,japo huu mgawanyiko ni hatariKKKT is dead.
Mungu aingilie kati muache kuishi kwa mihemko kanisani. Nimeyaona haya KKKT Usharika wa Kijitonyama, Dayosisi ya Konde na Kimara ambapo nguvu ya Mchungaji ni kubwa kuliko Askofu
View attachment 3642232
Mgogoro unaendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Loliondo, Jimbo la Maasai Kaskazini, umeingia katika hatua mpya baada ya waumini kuendelea kufanya ibada nje ya jengo la kanisa kwa zaidi ya wiki nane, wakipinga kuondolewa kwa mchungaji wao, Hery Johannes Lukumay.
Wakati huohuo, wamemwomba Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Alex Malasusa, kuingilia kati kabla mgogoro huo haujasababisha mgawanyiko mkubwa zaidi ndani ya kanisa.
Waumini hao wanadai mchungaji huyo aliondolewa katika mazingira yenye utata bila wao kushirikishwa.
Wanasema hatua hiyo imeyumbisha huduma za kiroho, kugawa waumini na kuwalazimu kuendelea kuabudu nje ya kanisa.
Pia wamesisitiza kuwa hawatarejea ndani ya jengo hilo hadi watakapopewa maelezo ya kina kuhusu sababu za kuondolewa kwa mchungaji wao.
Duh ! Mkuu umefunguka kinyama!! Hii inahitaji mada inayojitegemea kabisa. Yaani ufisadi kanisani hauna tofauti na wa TAMISEMI. Same criminals different platformsNasikia Wana KKKT huko Arusha, wanamlalamikia Sana huyo Askofu wao Mpya amekuwa mtu wa kuchangisha michango isiyoeleweka na wanaita eti sadaka.
Poleni Wana KKKT ARUSHA, Kuna Mwaka hela ilipigwa haswa, benki ya CRDB ikatishia kupiga mnada Hoteli yao ya Corridor Spring na Hospitali ya Selian kwa kushindwa kurejesha mkopo wa Dola za kimaremani zipatazo Milioni 9 wakati huo.
Badala ya kushughulika na Mafisadi eti wakaanzisha sadaka ya kulipa Deni la CRDB. Yaani ufisadi wafanye wao huko Dayosisi lakini Deni lilipwe na waumini. WTF
Bado tena hiyo Selian Hospital watu wananipigia tu mihela, huduma mbovu, hakuna sawa, mishahara hailipwi hadi JKCI imebidi waingilie kati kutoka Jahazi. Kwa kifupi hiyo Dayosisi ya Kaskazini Ina ufisadi Sana watu wananipigia Sana
Bado Kanisa Kuu Mjini Kati, ofisi za Dayosisi zinapojengwa, huko napo huo mradi wa ujenzi waumini wanachangishwa Kila kukicha na Pesa inayopatikana inaenda kwenye kunufaisha viongozi wa kanisa kwa ununuzi wa Magari MAPYA na ujenzi wa nyumba zao. Yaani kanisa linajengwa na wao wanajenga nyumba zao kupitia huo mradi wakishirikiana hiyo Kamati ya ujenzi.
Kuna shida sana ya ufisadi KKKT KASKAZINI...na watu wakiiba wanaishia kusema Bwana Yesu asifiwe na hakuna kuwajibishana. Huyo Askofu kapeleka kibaraka wake, waumini wamemshitukia wamegoma kumpokea lengo ni upigaji tu na waumini wameshitukia Kuna upigaji ulitaka kufanyika ndiyo maana wamemgomea kumpokea huyo Mchungaji wao Mpya
Yaani Askofu anapanga safi yake ya ulaji akishirikiana na wakuu Wa jimbo
Hawa jamaa huwa wana comedy sana.View attachment 3642232
Mgogoro unaendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Loliondo, Jimbo la Maasai Kaskazini, umeingia katika hatua mpya baada ya waumini kuendelea kufanya ibada nje ya jengo la kanisa kwa zaidi ya wiki nane, wakipinga kuondolewa kwa mchungaji wao, Hery Johannes Lukumay.
Wakati huohuo, wamemwomba Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Alex Malasusa, kuingilia kati kabla mgogoro huo haujasababisha mgawanyiko mkubwa zaidi ndani ya kanisa.
Waumini hao wanadai mchungaji huyo aliondolewa katika mazingira yenye utata bila wao kushirikishwa.
Wanasema hatua hiyo imeyumbisha huduma za kiroho, kugawa waumini na kuwalazimu kuendelea kuabudu nje ya kanisa.
Pia wamesisitiza kuwa hawatarejea ndani ya jengo hilo hadi watakapopewa maelezo ya kina kuhusu sababu za kuondolewa kwa mchungaji wao.
Vita ya wachaga na wamasai hiyoView attachment 3642232

Is what happen ukikaribisha insetive za wanasiasa, catholic wao walifanikiwa ku limit thisNimependa msimamo wao,japo huu mgawanyiko ni hatari
Ni kweli,RC ni kanisa limetulia japo lina madhaifu yake ila limebaki na msimamo thabiti Kwa muda mrefuIs what happen ukikaribisha insetive za wanasiasa, catholic wao walifanikiwa ku limit this