KKKT Loliondo wasalia nje kisa hawamtaki Mchungaji aliyeletwa na Askofu

Hyo ya kutaka kupiga mnada Selian hos niiliskia kipnd flan iv..vp ilijaishaje?au ndo mliamua kuchangisha hadi den likalipwa?
 
Hyo ya kutaka kupiga mnada Selian hos niiliskia kipnd flan iv..vp ilijaishaje?au ndo mliamua kuchangisha hadi den likalipwa?
Waumini walichangishwa Kila wiki hadi Deni likaisha na Kuna viwanja viwili pia viliuzwa kwa jumla ya bei ya kiasi cha Bilioni 2.
Hivi viwanja vilikuwa prime area hapo Arusha
 
Duh ! Mkuu umefunguka kinyama!! Hii inahitaji mada inayojitegemea kabisa. Yaani ufisadi kanisani hauna tofauti na wa TAMISEMI. Same criminals different platforms

Nipe wiki Moja nifanye kautafiti kwanza kuhusu ufisadi KKKT halafu nitakuja na mada inayojitegemea
 
Duh mbona tuhuma nzito hizi.
 
Wako kimwili sana na sio kiroho, mara nyingi kumkataa mchungaji kuna achilia laana kwenye huo usharika au mtaa kama wasiposhtuka, na kutubu, njia waliyoitumia inahamasisha chuki katikati ya kanisa na migogoro mikubwa, hata akirudishwa huyo mchungaji wanayemtaka bado migogoro haitaisha maana wameipandikiza wenyewe
 
Hilo ni tatizo kubwa sana kwa KKKT, uongozi wa kanisa hauna meno
 
Hilo ni tatizo kubwa sana kwa KKKT, uongozi wa kanisa hauna meno
Ni kwa sababu migogoro yenyewe inaanzishwa na viongozi wenyewe mpaka dayosisi ya konde haina utulivu wanaparuana tu, viongozi wametoka kwenye hoja ya kumtangaza kristo sasa wako kwenye hoja ya pesa, wanatengeneza mirija mingi ya pesa kwa mgongo wa sadaka
 
Hilo ni tatizo kubwa sana kwa KKKT, uongozi wa kanisa hauna meno
Unakuwaje na meno wakati kuna kashfa kibao tena za ubadhirifu wa mabilioni ya pesa? Ukiwa mwizi tena anaejulikana hadi kwa waumini huwezi kuwa na confidence ya kuongea kitu waumini wakakutii. Viongozi wa KKKT wasingekuwa na kashfa hasa za wizi, angalau waumini wangewasikiliza.
 
Sasa wanasali nini huku wanakinyongo.
Ni Bora wakae nyumbani
 
Wapo Sahihi....Labda MALASUSA amemleta CHAWA
 
Nini kinaendelea Konde?
 

Kitu ambacho hujui kiongozi waumini wanataka mchungaji wao ila kitu ambacho maaskifu wanakosea ni kuwachukua wachungaji ghafla na bila maelezo au maafikiano mi Nasali Lutheran ila nimeona hicho kitu kikitokea kanisani wakiona kuna fursa fulani wanamtoa aliyekuepo wanaleta mtu mwingine wanaemtaka wao na sio waumini hii kitu inakela
 
Katoliki huo ndo utaratibu wa kila siku,taarifa tu inakuja Padri amehamishwa na hakuna maswali wala kuhoji . Mnamuaga Padri anayeondoka mnampokea mpya. Huyo mpya nae anakaa kidogo labda mwaka mmoja au miaka miwili anaondoka mnaletewa mpya. Sema wakatoliki washazoea huo utaratibu ndio maana hakuna kesi za aina hii kwa Katoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…