Na hilo ndiyo tatizo kubwa la waumini wa KKKT, kufungamana na Mchungaji badala ya kufungamana na InjiliKitu ambacho hujui kiongozi waumini wanataka mchungaji wao ila kitu ambacho maaskifu wanakosea ni kuwachukua wachungaji ghafla na bila maelezo au maafikiano mi Nasali Lutheran ila nimeona hicho kitu kikitokea kanisani wakiona kuna fursa fulani wanamtoa aliyekuepo wanaleta mtu mwingine wanaemtaka wao na sio waumini hii kitu inakela
PreciselyKatoliki huo ndo utaratibu wa kila siku,taarifa tu inakuja Padri amehamishwa na hakuna maswali wala kuhoji . Mnamuaga Padri anayeondoka mnampokea mpya. Huyo mpya nae anakaa kidogo labda mwaka mmoja au miaka miwili anaondoka mnaletewa mpya. Sema wakatoliki washazoea huo utaratibu ndio maana hakuna kesi za aina hii kwa Katoliki.
Tunaisubiri kwa hamu
Hapa Kuna hojaDuh ! Mkuu umefunguka kinyama!! Hii inahitaji mada inayojitegemea kabisa. Yaani ufisadi kanisani hauna tofauti na wa TAMISEMI. Same criminals different platforms