Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Yaani wanaboa balaaWakati taifa lina lengo la kuimarisha matumizi ya lugha yetu kwenye nyanja zote ikiwa ni pamoja na elimu wapinzani wa taifa kujikomboa kwenye ukoloni wa lugha na utamaduni wa kigeni wanajibu mapigo kupitia makanisa...
Hivi kuna watu bado huwa mnaenda nyumba za ibada?
Urudieni Uafrika na tamaduni zake
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Lugla ni ukabwela?Sasa makabwela watasali Wapi!
Wametuwakilisha na sisi, mimi nimeipenda hii. Tuwatie moyo wenzetu hawa ili katika sala na maombi yao waiombee na JF dhidi ya wote wenye husda na kijicho.Leo wana Jf wengi mmekumbuka kwenda kanisani!!
naona mnalalamika kila kona
Uzi wa tatu huu.
Duh! Hahaa sijajua makabwela umemaanisha nini?Sasa makabwela watasali Wapi!
Amen mkuu,Wametuwakilisha na sisi, mimi nimeipenda hii. Tuwatie moyo wenzetu hawa ili katika sala na maombi yao waiombee na JF dhidi ya wote wenye husda na kijicho.
Kwa jinsi ulivyoandika "participatory " ni wazi kuwa misa kama hizi hazikufai.Je! Kuna Jamii au watu especially mataifa ya nje wanaozungumza kingereza? Kama hakuna huo ni ushamba...
leo makanisa mengi yana sherehe za kipaimara hivyo wajuba wengi wameenda kuzengea msosiLeo wana Jf wengi mmekumbuka kwenda kanisani!!
naona mnalalamika kila kona
Uzi wa tatu huu.
Au KKKT VERTENARY😆😆Kwa mbezi beach ni sawa kule wakishua wengi na wageni wengi.kuna kitu wamekiona.huo mpango hawawezi kuuleta huku buza kwa mpalange
Ibada ya kingereza kkt mbezi beach ni once a month, na ni option sio unalazimishwa, binafsi mimi na watoto wangu tunasali engkish service na first born wangu mafundisho ameopt english kwa sababu ndio lugha amekua akiitumia shule na tuliona kiswahili kitasumbuaWakati taifa lina lengo la kuimarisha matumizi ya lugha yetu kwenye nyanja zote ikiwa ni pamoja na elimu wapinzani wa taifa kujikomboa kwenye ukoloni wa lugha na utamaduni wa kigeni wanajibu mapigo kupitia makanisa...
Huyu jamaa mleta mada sina uhakika kama ni msharika mwenzetu, maana amekuja na lawama wakati englidh service ni option kwa wale wanaomudu na sio lazimaKuna misa ya kiswahili na kiingereza. Muumini unachagua inayokufaa. Na tukumbuke kuwa Tanzania hatuishi watanzania peke yetu, tuna wageni ambao wangependelea zaidi misa ya Kiingereza...
Sababu ya kutumia lugha ya kingereza kwa watoto ni kwamba asilimia 98 ya watoto wa sunday school mbezi beach wanasoma shule za english medium au international school na walimu wanapata ugumu kuwafundisha kwa kiswahiliNikuulize wanao wapo st kayumba au shule zinafundisha kiingilishi,
Kama ni zinazofundisha kiinglishi basi huna hoja!! Endelea kuabudu au hama kanisa!
Umejibu vizuri sana. Naongezea tu kuwa Kiingereza ni lugha ya taifa kama kiswahili. Ndio maana sheria zinaandikwa kwa lugha zote mbili.
Walla hujui lugha ya taifa ni kiswahili. Lugha rasmi nchini ndio kiswahili na kingereza na serikalini shughuli zote kinatumika kiswahili.