Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ushainaa unatoa sadaka na michango kwa ajili ya ujensi wa shule lakini unashindwa kusomesha mwanao, Hii ndioo kichekeshoo kinachoendeleea yaan ada zao kama awataki mtu kusoma hapo.
Ushauri tu kwa KKKT mkumbuke n michango ya waumini kuwafikisha hapo mlipo na aim ni kusaidia waumini wenu kama namba moja...Wasomeshe watoto wao.
Inashanagaza kuona watu wa nje kabisa ndioo wanasomesha watoto wao shule zenu
Punguzen ada mkajitafakari wapendwa
Mungu awabariki