Kama unajua leo hii matrix nikupe pole sana, na bado unasafar ya kujua zaidi.. leo umejua shule, fikiria tuh hospital ambazo makanisa wameanzisha kwa michango ya waumin, kuna vyuo.Ushainaa unatoa sadaka na michango kwa ajili ya ujensi wa shule lakini unashindwa kusomesha mwanao, Hii ndioo kichekeshoo kinachoendeleea yaan ada zao kama awataki mtu kusoma hapo.
Ushauri tu kwa KKKT mkumbuke n michango ya waumini kuwafikisha hapo mlipo na aim ni kusaidia waumini wenu kama namba moja...Wasomeshe watoto wao.
Inashanagaza kuona watu wa nje kabisa ndioo wanasomesha watoto wao shule zenu
Punguzen ada mkajitafakari wapendwa
Mungu awabariki
Mungu akupe uhaii nduguu yaan nimewaza nikawazikaaaa hivi mil3 mtoto waa la kwanza akifika lasaba analipa ngapi sasa kama n hivi bora hii michango tukatoe sadakaa kwabyatima tuKama unajua leo hii matrix nikupe pole sana, na bado unasafar ya kujua zaidi.. leo umejua shule, fikiria tuh hospital ambazo makanisa wameanzisha kwa michango ya waumin, kuna vyuo.
Kiufupi ni kwamba wakristo wengi dunian wanauziwa iman yao kwa mlengo wa toa ndugu Mungu atakubariki.. dini nyingi zimekuwa ni taasisi za kuwanufaisha wachache, zimekuwa ni mateso kwa waumin wake kwa kigezo wanapigana na shetan hakuna shetan kwenye dini hiyo ni biashara na inamipango mikubwa kwa watu dunia nzima haswa wafrica so ukishaelewa hiyo sytems utaelewa maana ya neno Dini