KKKT sadaka za marehemu wapewe wafiwa baada ya ibada, mambo ya tutakuja mkirudi yafe

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Poleni sana marehemu watarajiwa mnaosoma hapa

Vizuri tukaelimisha makanisa ndugu zenu wasiteseke mnapotangulia.

Juzi tulikuwa msiba mmja kanisa moja kmr kumwaga mama yetu mmoja.

Watu walishiriki kwa kutoa sadaka baada ya sadaka mch anasema sadaka hizi tutaleta kwa mume wa marehemu akirudi iliumiza wengi sana.

Hata waliposhauriwa wafiwa wanahtaji ziwasaidie safarini waligoma kutoa .Sasa unajuaje atarudi wewe ni Mungu.

Ushauri makanisa yote.

Sadaka wapewe wafiwa siku ileile mtafanya watu washinde bar kuuluzia kama mda wa kuaga umefika.

Tuombe

Sala ya bwana

Neema ya bwana wetu

Mungu awape mwisho mema mnaosoma na nyie msisndikize tu siku moja msisndikize na muwe kwenye kitabu cha uzima wa milele

Amen
 
sijui sana, ila usharika ninaosali sadaka zote kuanzia za ibada za jioni za faraja hadi siku ya ibada ya mazishi sadaka huwa wanapewa mfiwa/wafiwa ili kusaidia shughuli za msiba
 
Kwa tukio la msiba sadaka inatakiwa wapewe wafiwa. Kanisa linaweza punguza percent kidogo toka kwenye sadaka kwa ajili ya huduma za kanisa.
Inashangaza sana baadhi ya makanisa baada ya misa ya kumuaga marehemu, sadaka yote inabaki kanisani.
 
Tena kama Rc wanasema ni kwa ajili ya kumuombea misa marehemu
 
Kwani sadaka maana yake ni nini, nadhani ni sehemu ya ibada kwaiyo kuziacha kwa familia ya marehemu ni hiyari na sio lazima. Na ndio maana kuna michango ya rambirambi kwaajili ya familia.
 
Hiyo isiitwe sadaka labda mchango wa rambirambi.
Sadaka wanapewa wafiwa??
SEMA labda mchango wa msiba wa waumini wenzao.
 
Tena kama Rc wanasema ni kwa ajili ya kumuombea misa marehemu
Madre wasipokula sauti za sala haziwezi kutoka.Mwenye huwa anapiga miayo hawezi tamka maneno.Wakila wakishiba ndipo.hata moro wa kuombea marehemu unapanda
 
Poleni sana marehemu watarajiwa mnaosoma hapa

Vizuri tukaelimisha makanisa ndugu zenu wasiteseke mnapotangulia.

Juzi tulikuwa msiba mmja kanisa moja kmr kumwaga mama yetu mmoja.

Watu walishiriki kwa kutoa sadaka baada ya sadaka mch anasema sadaka hizi tutaleta kwa mume wa marehemu akirudi iliumiza wengi sana.

Hata waliposhauriwa wafiwa wanahtaji ziwasaidie safarini waligoma kutoa .Sasa unajuaje atarudi wewe ni Mungu.

Ushauri makanisa yote.

Sadaka wapewe wafiwa siku ileile mtafanya watu washinde bar kuuluzia kama mda wa kuaga umefika.

Tuombe

Sala ya bwana

Neema ya bwana wetu

Mungu awape mwisho mema mnaosoma na nyie msisndikize tu siku moja msisndikize na muwe kwenye kitabu cha uzima wa milele

Amen

Tuijue kwanza maana ya sadaka na kwanini sadaka
 
Kwa tukio la msiba sadaka inatakiwa wapewe wafiwa. Kanisa linaweza punguza percent kidogo toka kwenye sadaka kwa ajili ya huduma za kanisa.
Inashangaza sana baadhi ya makanisa baada ya misa ya kumuaga marehemu, sadaka yote inabaki kanisani.
Ila ujalazimishwaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom